Uwiano wa Wataalamu wa Afya na idadi ya watu
Jina la wilaya |
Madaktari (MO) |
Madaktari Wasaidizi (AMO) |
Afisa Tabibu |
Afisa Wauguzi na Wauguzi wenye ujuzi (NO & TN) |
Songea (M) |
1:16,274 |
1:9154 |
1:3051 |
1:970 |
Songea (V) |
1:29274 |
1:35129 |
1:2788 |
1:1301 |
Mbinga |
1:112,994 |
1:32,284 |
1:370 |
1:2045 |
Tunduru |
!:55,304 |
!:34,565 |
!:10,242 |
1:3895 |
Namtumbo |
0:195,926 |
1:97,953 |
1:10,885 |
1:9330 |
Jumla ya Mkoa |
1:56,661 |
1:27,701 |
1:6296 |
1:1936 |
Maoni/Comments:
Uwiano wa madaktari (MO) na idadi ya watu bado siyo nzuri kwani Mkoa una jumla ya madaktari 22 kwa hospitali za Serikali na Mashirika ya Dini . Pia katika kipindi hicho hicho ajira za Maafisa Wauguzi na Wauguzi wenye ujuzi zimeongezeka hasa kwa hospitali ya Mkoa.
HALI YA MAGONJWA NA VIFO VINAVYOATHIRI WANANCHI MKOANI
Magonjwa 10 yanayoshika nafasi katika kujitokeza na kuathiri jamii ni kama ifuatavyo:-
Malaria
Kuhara
Magonjwa ya njia ya hewa
Kichomi
Magonjwa ya macho
HIV & AIDS
Kuhara damu
Kifua Kikuu
Magonjwa ya ngozi
Magonjwa ya minyoo
Magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo katika jamii:-
Malaria
UKIMWI
Anaemia
Kichomi
Kuhara
Kifua Kikuu
Magonjwa ya Moyo
Magonjwa ya njia ya hewa
Kuhara damu
Uti wa Mgongo
MIKAKATI MBALIMBALI YA KUDHIBITI MAGONJWA YA KUAMBUKIZA
1. Kuboresha hali ya mazingira mijini na vijijini.
2. Kuelimisha jamii na kamati za Afya za Kata vijiji.
3. Kuboresha upatikanaji wa takwimu za magonjwa na kuzitumia katika kupanga mikakati ya kuzuia.
4. Kuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa.
5. Kuimarisha kamati za Maafa na dharura katika wilaya, kata na vijiji.
HALI YA LISHE NA UTAPIAMLO MKALI
Mkoa wa Ruvuma umefikia kiwango cha asilimia 1 ya utapiamlo mkali ikilinganishwa na asilimia 2.9 ya Taifa. Hali ya utapiamlo kwa kila wilaya ni kama ifuatavyo:-
Mbinga - 0.2%
Tunduru - 2.3%
Songea (V) - 1.3%
Namtumbo - 1.2%
Songea (M) - 0.2%
Back