Mkoa wa Ruvuma utafanya Maonesho ya Viwanda na Kongamano la Uwekezaji tarehe 24-26 Julai,2019.Maonesho haya yatafanyika katika uwanja wa Majimaji Manispaa ya Songea.
Kauli mbiu ya maonesho haya ni "Ruvuma Itavuma kwa Uchumi wa Viwanda,Wekeza Sasa"
Ili kushiriki kwenye maonyesho haya wamiliki wa viwanda,biashara na wawekezaji mnatakiawa kujisalijili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.