THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - PRIME MINISTERS OFFICE
   
Search the site


 .: Home
 .: Organization structure
 .: About Us & Contact
 .: Mission & Vision
 .: Project & Programs
 .: Financial Report & Budget
 .: Documents
Taarifa za idara

 .: Kilimo na Mifugo

.: Maliasili

.: Elimu

.: Afya

.: Maji

.: Ushirika

.: Biashara

.: Barabara na Majengo

.: Ardhi, Upimaji na Ramani

.: Jamii, Jinsia & Watoto

.: Kazi

.: Sheria

.: Serikali za Mitaa


Private Area
Webmail
Maoni
Download Software
FAQ & Forums

 

   


ARDHI, MIPANGO MIJI, UPIMAJI NA RAMANI

Utangulizi:

Sekta ya Ardhi, Mipango miji, Upimaji na Ramani ipo katika Klasta ya huduma za Mipango ya Ardhi na Uhandisi (Physical Planning and Engineering Support Services). Dhumuni la Sekta hii ni kutoa ushauri wa kitaalam katika huduma za Mipangomiji, Usimamizi na Utawala wa Ardhi, Upimaji wa Ramani kwa Katibu Tawala wa Mkoa, Halmashauri na wadau wengine katika fani zilizo chini ya Sekta hii.

Watumishi waliopo kwenye sekta hii ni kama ifuatayo: Ndugu S.C Tossi (AAS PPES & TA - Surveying), A.J.Makubha(Land Officer), M.E. Mjema(Town Planner), P.L Mbelle (Technician Survey) na A. I. Kinunda (Technician Cartographer).  

II Shughuli zifanywazo na Sekta ya Ardhi,Mipangomiji, Upimaji na Ramani:

•  Kushauri wadau mbalimbali kuhusu Mipango miji, Huduma za Ardhi, upimaji na ramani katika mkoa wa Ruvuma.

•  Kupokea na kutafsiri taarifa, sera, sheria na miongozo mbalimbali ya kisekta kuhusu Huduma za Ardhi, Mipango miji, upimaji na ramani na kuzipeleka Halmashauri kwa utekelezaji.

•  Kufuatilia utekelezaji wa mipango mbalimbali ya Huduma za Ardhi, Mipango miji, Upimaji na Ramani, kwenye Halmashauri za Wilaya na Manispaa mkoani Ruvuma.

•  Kuchambua na kuunganisha taarifa mbalimbali za utekelezaji za robo mwaka, mwaka za Halmashauri ambazo zinakuwa kama msingi wa maamuzi ya utendaji kazi.

•  Kukagua mahesabu ya kazi zote za upimaji zilizofanywa na Halmashauri na kuzipeleka Wizara ya Ardhi kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani kwa hatua ya uidhinishaji.

•  Kukagua na kusaini "deed plans" zote zinazotayarishwa na Halmashauri kwa ajili ya maandalizi ya hati.

Kukagua michoro ya Mipangomiji kutoka katika Halmashauri kabla ya kupeleka kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji kwa ajili ya kuidhinishwa.

•  Kutunza nyaraka na kumbukumbu za Usimamizi na Utawala wa Ardhi, Upimaji na Ramani na Mipangomiji.

•  Kutambua na kuimarisha mipaka ya Kimataifa, Mkoa na Wilaya

TAARIFA ZA MASUALA YA ARDHI, MIPANGOMIJI NA UPIMAJI WA RAMANI MKOANI RUVUMA  

NA

JINA LA HALMASHAURI

VIWANJA VILIVYOMILIKISHWA

MIPAKA YA VIJIJI VILIVYOPIMWA

VYETI VYA ARHI YA VIJIJI VILIVYOANDALIWA

VIJIJI VILIVYOANDALIWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI HATIMILIKI ZA KIMILA ZILIZOANDALIWA

1

Manispaa ya Songea

24,561

Hakuna vijiji Hakuna vijiji Hakuna vijiji Haziandaliwi mijini.

2

H/W Songea

2,163

71 35 14 -

3

H/W Tunduru

6,814

118 107 15 -

4

H/W Mbinga

9,492

153 5 11 250

5

H/W Namtumbo

7,079

59 17 61 6,298
JUmla

50,109

401 164 101 6548

 

Investments Opportunity

Tourism

Tele-Communications

Extra Information

Forest Tourist Telephone Maps of Road Network
Mining Postal Services GDP
Fishing Honey Produce and Processing Radio Call Stations

Energy Sector

Industry Wildlife National Television Channels and Access Air-Plan

 


Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, P.O.BOX 74, Songea, TEL: 025 - 2602238/2602256,2602641, FAX: 025-2602144

[Go Home][WebMaster ]