THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - PRIME MINISTERS OFFICE
   
Search the site


 .: Home
 .: Organization structure
 .: About Us & Contact
 .: Mission & Vision
 .: Project & Programs
 .: Financial Report & Budget
 .: Documents
Taarifa za idara

 .: Kilimo na Mifugo

.: Maliasili

.: Elimu

.: Afya

.: Maji

.: Ushirika

.: Biashara

.: Barabara na Majengo

.: Ardhi, Upimaji na Ramani

.: Jamii, Jinsia & Watoto

.: Kazi

.: Sheria

.: Serikali za Mitaa


Private Area
Webmail
Maoni
Download Software
FAQ & Forums

 

   

SEKTA YA BARABARA

Mkoa una barabara zenye urefu wa jumla ya km. 5,276 kati ya hizo km. 705 ni barabara kuu, km. 1,234 ni za mkoa na km. 3,337 ni za wilaya, km. 200 kati ya km 5,276 ni za tabaka la lami.

Barabara Kuu na za Mikoa

Ukarabati wa Barabara katika kiwango cha Changarawe/Udongo

Mwaka 2005 kulikuwa na barabara zenye urefu wa km. 498.0 zilizojengwa katika kiwango cha changarawe/udongo. Kufikia Desemba 2008 zipo barabara zenye urefu wa km. 892.16 sawa na ongezeko la km.394.16 sawa na asilimia 50

Ujenzi wa Barabara za Lami

Mwaka 2005 kulikuwa na barabara zenye urefu wa km. 192.1 kufikia Desemba 2008 kuna barabara zenye urefu wa km. 200 za lami sawa na ongezeko la km. 7.9 sawa na asilimia 4.

Ujenzi wa Madaraja

Mwaka 2005 yalijengwa madaraja 75 kufikia Desemba 2008 yamejengwa madaraja 104 sawa na ongezeko la madaraja 29 sawa na asilimia 39

Mkulima wa kijiji cha Mpepai Wilayani Mbinga akivuka mto Ruvuma kutokea kijiji cha Kizuka Wilayani Songea kwa kutumia kivuko hatari akiwa na baiskeli yake. Ili kuvuka kivuko hiki ilitakiwa kuvusha baiskeli peke yake na baadaye kuvusha mzigo kwa kichwa kwa kutumia kivuko hicho hatari. Picha hii imechukuliwa 19 th April 2005 .

   

Daraja la Zege linalounganisha Kata ya Mpepai (Mbinga) nakata ya Magagula (Songea) limekamilika mwezi Januari 2008. Kabla ya daraja hili hali ya usafiri wa watu na mazao ulikuwa mgumu sana (Angalia picha juu). Kwa sasa daraja linauwezo wa kupitisha magari hadi tani 15 na limekuwa kichocheo cha kilimo maeneo ya kusini mwa wilaya za Mbinga na Songea. Picha imechukuliwa tarehe 18 Oktoba 2008

Investments Opportunity

Tourism

Tele-Communications

Extra Information

Forest Tourist Telephone Maps of Road Network
Mining Postal Services GDP
Fishing Honey Produce and Processing Radio Call Stations

Energy Sector

Industry Wildlife National Television Channels and Access Air-Plan

 


Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, P.O.BOX 74, Songea, TEL: 025 - 2602238/2602256,2602641, FAX: 025-2602144

[Go Home][WebMaster ]