ELIMU
Mkoa wa Ruvuma umekuwa unatekeleza programu mbali mbali zinazohusu elimu kuanzia elimu ya awali, elimu maalum, elimu ya msingi, elimu ya sekondari, na vyuo.
Elimu ya Awali:
Mwaka 2005 Mkoa ulikuwa na shule zenye madarasa ya awali 650 kati ya shule za msingi 668, sawa na asilimia 97 ya shule za msingi zilizokuwepo. Kufikia Desemba 2008 shule zenye madarasa ya awali zimefikia 687, sawa na asilimia 95 ya shule za msingi 723.
Idadi ya wanafunzi walioandikishwa madarasa ya awali.
MWAKA |
WATOTO WENYE MIAKA 5-6 |
WALIOANDIKISHWA |
ASILIMIA |
|
WAV |
WAS |
JUMLA |
WAV |
WAS |
JUMLA |
|
2006 |
28,500 |
32,014 |
60,515 |
13,560 |
17,389 |
30,949 |
51.1 |
2007 |
29,166 |
28,500 |
57,666 |
12,030 |
15,906 |
27,936 |
48 |
2008 |
54,117 |
55,094 |
109,211 |
47,249 |
39,378 |
77,618 |
71.1 |
Chanzo : Fomu za Takwimu za shule za awali - TSA kutoka Wilayani
Mkoa unaendele ana utekelezaji kwa kuhamasisha wananchi kuandikisha watoto katika madarasa ya awali katika shule za msingi zilizopo.
Elimu ya Msingi:
Katika kutekeleza azma ya Serikali kutaka kila mtoto mwenye umri wa kwenda shule anaenda, Mkoa umeongeza shule za msingi kutoka 668 mwaka 2005 hadi shule 723 kufikia Desemba 2008 (shule 717 za serikali na 6 zisizo za serikali), kiasi hiki kinaonyesha ongezeko la shule 55 sawa na ongezeko la asilimia 8.2
Kutokana na ongezeko la shule, idadi ya wanafunzi walioandikishwa shuleni darasa la I mpaka la VII imeongezeka kutoka wanafunzi 266,788 mwaka 2005 kufikia wanafunzi 281,062 mwaka 2008
| MWAKA |
IDADI YA SHULE |
WALIOANDIKISHWA |
|
SERIKlLI |
BINAFSI |
JUMLA |
WAV |
WAS |
JUMLA |
2005 |
663 |
5 |
668 |
134,510 |
132,278 |
266,788 |
2006 |
675 |
5 |
680 |
137,535 |
135,880 |
273,415 |
2007 |
695 |
5 |
700 |
141,073 |
139,563 |
280,636 |
2008 |
717 |
6 |
723 |
141,264 |
139,798 |
281,062 |
Chanzo : Fomu za Takwimu za shule za Msingi - TSA 1 na 2 kutoka Wilayani
Next |