Mazao ya Biashara: Jumla ya hekta 76,359 za mazao ya biashara zimelimwa kati ya lengo la kulima hekta 121,194. Utekelezaji huu ni sawa na asilimia 63 ya lengo. Tumbaku tani 2,448, Kahawa tani 12,886, Korosho tani 4,804 na mazao mengine tani 16,631. Sababu kubwa ya kushuka kwa uzalishaji wa mazao ya Tumbaku na Korosho kwa msimu 2006/2007 ukilinganisha na msimu 2005/2006 ni kutokana na kutokuwa na soko la kuaminika la mazao hayo, uwezo mdogo wa wakulima kujinunulia pembejeo na uhafifu wa huduma za ugani.
Mkakati mkubwa uliowekwa kwa ajili ya kuongeza uzalishaji ni kuimarisha huduma za ugani kwa kuhakikisha wataalam wachache waliopo wanatumika kikamilifu katika kutoa huduma kwa wakulima na pia kuendelea kuajiri wataalamu wapya ili angalau kila kijiji kiwe na mtaalam mmoja wa kilimo.
|
Mazao ya Biashara
Mazao
ya Biashara |
2004/2005 |
2005/2006 |
2006/2007 |
2007/2008 |
Hekta |
Tani |
Hekta |
Tani |
Hekta |
Tani |
Hekta |
Tani |
Hekta |
Tumbaku |
17,673 |
9,721 |
10,890 |
5,383 |
4,875 |
2,448 |
3,157 |
2,514 |
Kahawa |
36,250 |
8,135 |
36,356 |
8,135 |
36,224 |
12,886 |
36303 |
17,485 |
Korosho |
29,004 |
10,376 |
29,073 |
10,406 |
10,801 |
7,727 |
20652 |
6,689 |
Alizeti |
3,413 |
2,178 |
3,406 |
2,178 |
1,800 |
1,645 |
1705 |
1,871 |
Ufuta |
8,393 |
4,048 |
8,366 |
4,142 |
7,476 |
3,604 |
5715 |
2,808 |
Karanga |
17,327 |
10,091 |
17,324 |
10,493 |
13,580 |
10,290 |
14823 |
11,520 |
Soya |
808 |
567 |
809 |
569 |
1,089 |
1,565 |
1255 |
1698 |
Mengine |
- |
- |
- |
- |
514 |
1426 |
1,299 |
3,112 |
Jumla |
112,868 |
45,115 |
106,224 |
41,306 |
76,359 |
41,591 |
84,909 |
47,697 |
Back Next
|
|