HUDUMA YA MAJI
Kiwango cha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa mkoa wa Ruvuma hadi Agost 2007 ni wastani wa asilimia 56. Wakazi wa vijijini wanapata huduma hiyo kwa asilimia 55 wakati mijini ni asilimia 57.
Hali ya upatikianaji wa maji
S/N |
WILAYA |
HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI % |
|
|
VIJIJINI |
MJINI |
WASTANI |
1 |
Songea |
56 |
56 |
56 |
2 |
Mbinga |
35 |
52 |
43.5 |
3 |
Namtumbo |
61 |
- |
61 |
4 |
Tunduru |
67 |
64 |
65 |
5 |
JUMLA(Mkoa) |
219 |
64 |
56 |
MAJI VIJIJINI
a ) Miundombinu ya Maji Vijijini
Miundombini ya maji vijijini inatumia technolojia ya visima vya pampu za mkono, mtiririko (gravity) kwa njia ya bomba na kusukuma au kuvuta kwa pampu za umeme, dizel au pampu za maji (hydram) kwa njia ya bomba.Hali ya miundombinu ya maji vijijini mkoa wa Ruvuma imeelezwa hapa chini. Miundombinu inayoangaliwa hapa ni ile inayomilikiwa na umma (public) tu.
i) Visima vya pampu za mkono
Vilivyopo 1205
Vinavyofanya kazi 948
ii) Vijiji vyenye miradi ya maji ya bomba kwa njia ya mtiririko
Iliyopo, vijiji 109
Inayofanya kazi, vijiji 103
iii) Vijiji vyenye miradi ya maji ya bomba kwa kusukuma/kuvuta
kwa pampu
- Iliyopo vijiji 17
Inayofanya kazi vijiji 9
Next |