THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - PRIME MINISTERS OFFICE
   
Search the site


 .: Home
 .: Organization structure
 .: About Us & Contact
 .: Mission & Vision
 .: Project & Programs
 .: Financial Report & Budget
 .: Documents
Taarifa za idara

 .: Kilimo na Mifugo

.: Maliasili

.: Elimu

.: Afya

.: Maji

.: Ushirika

.: Biashara

.: Barabara na Majengo

.: Ardhi, Upimaji na Ramani

.: Jamii, Jinsia & Watoto

.: Kazi

.: Sheria

.: Serikali za Mitaa


Private Area
Webmail
Maoni
Download Software
FAQ & Forums

 

 

Kwa vile programu ya maboresho itagusia pia na mfumo wa elimu, tuliachie hapa. Lakini ni lazima kuwa macho maana mfumo wa elimu wa kulifaa taifa letu hauwezi kutoka nje. Utajengwa na sisi na wala si wageni.

Usimamizi wa Mpango wa Uboreshaji

Usimamizi wa utekelezaji wa Mpango wa Uboreshaji ni jukumu la Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Wakati wa kuandaa programu, Serikali ilikubaliana na wabia wake iundwe timu ya wataalamu wa kuiwezesha wizara yenye dhamana ya Serikali za Mitaa kusimamaia utekelezaji wa Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa.

Mpango wa aina hii ambao unalenga kubadili fikra, mazoea na tabia za watu unahitaji muda mrefu wa maandalizi, na ushirikishwaji ili kupata maamuzi ya pamoja na fedha nyingi zinahitajika kugharamia uboreshaji unaokusudiwa.

Kubadilisha fikra, mazoea, tabia, mifumo, si "Maboresho" bali ni mapinduzi! Labda neno maboresho lilitumika kukwepa ukali wa neno mapinduzi?

Mbona tuna Chama Cha Mapinduzi? Kama sikosei wale waliobuni jina la Chama Cha Mapinduzi, walikuwa na lengo la kupindua fikra, mazoea, tabia na mifumo iliyopitwa na wakati, ili kuunda mifumo ya kizalendo ya kuharakisha maendeleo na kulinda uhuru wa nchi yetu. Source http://www.habaritanzania.com/blogs/9/Kwanini-tunasherehekea-kupeleka-madaraka-kwa-wananchi%3F-(6)

 

 

 

 

 

Back

Investments Opportunity

Tourism

Tele-Communications

Extra Information

Forest Tourist Telephone Maps of Road Network
Mining Postal Services GDP
Fishing Honey Produce and Processing Radio Call Stations

Energy Sector

Industry Wildlife National Television Channels and Access Air-Plan

 


Copyright © 2007 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, P.O.BOX 74, Songea, TEL: 025 - 2602238/2602256,2602641, FAX: 025-2602144

[Go Home][WebMaster ]