Posted on: December 1st, 2023
Pichani kushoto ni Mwaklishi wa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Chihoma Mhako na Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Ruvuma Mariam Juma wakizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimi...
Idadi ya Watu mkoa wa Ruvuma = Idadi ya watu mkoani Ruvuma kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 jumla ya watu 1,848,794 kati yao wanaume 902,298 na wanawake 946,496