Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Polepole amefurahishwa na ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa ambayo imegharimu zaidi ya shilingi bilioni 12 .Amesema Wilaya ya Nyasa itakuwa kituo maalum cha uchumi katika ushoroba wa Mtwara unaoanzia Mtwara hadi Wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.