• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BENKI ya NMB yatoa msaada wa Vitanda 80 vyenye thamani ya Shilingi Milioni 20 Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: July 21st, 2022

BENKI ya NMB  imeto msaada wa vitanda 80 vyenye thamani ya shilingi milioni 20 katika shule mbili za Halmashauri ya Songea vijini Mkoani Ruvuma

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango amezitaja shule ambazo zimepata msaada huo na kumkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Menejimenti na Utawala Bora Jenista Mhagama.

Shango amezitaja hizo  shule ya sekondari ya Jenista Mhagama iliyopata vitanda 40 pamoaja Shule ya sekondari ya kilagano nayo imepata vitanda 40.

Akizungumza mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais menejimenti na Utawala Mh. Jenista Mhagama baada ya kukabidhi msaada huo wenye thamani ya milioni 20 katika sekondari zote mbili amesema Benki ya NMB wapotayari kusaidia katika maswala ya Elimu pamoja na Afya.

“Vitanda hivi ambavyo tunavikabidhi leo,ni moja ya ushiriki wetu katika maendeleo ya jamii na sisi kama benki inayoongoza Tanzani  tunao wajibu wa kuhakikisha jamii inayotuzunguka inafaidika kutokana na faida tunayopata’’,amesema Shango.

Kwa upande wake mgeni rasmi katika hafla hiyo, Waziri Jenista Mhagama  ameipongeza NMB kwa kutoa msaada huo wa vitanda kwa shule mbili za Halmashauri Wilaya Songea vijijini ambapo amesema msaada huo utasaidia kuboresha taaluma kwa wanafunzi.

“Nipende kuwashukuru kwa dhati benki ya NMB kwa msaada huu wa vitanda 80 katika shule hizi na imekuwa ikijitoa kwa jamii na leo tumeshuhudia imetoa msaada huu kwa lengo la kutatua changamoto za maradhi  kwa wanafunzi wetu  tuwahakikishie sisi kama Serikali tutashirikiana nanyi bega kwa bega ”

Benki ya NMB imekuwa kila mwaka inatoa misaada mbalimbali katika shule za Mkoa wa Ruvuma ambapo mwezi uliopita ilisaidia vifaa vya thamani ya milioni 15 kwenye shule tatu katika Halmashauri ya wilaya ya Mbinga

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 March 31, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ZIARA ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) Manispaa ya Songea

    April 01, 2023
  • WAKULIMA Ruvuma kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora

    April 01, 2023
  • BILIONI 43 zinavyotekeleza miradi ya TARURA Ruvuma

    April 01, 2023
  • SIMBA wawili kuwasili Ruhila Zoo Songea kabla ya Pasaka

    April 01, 2023
  • Tazama zote

Video

RAIS SAMIA alivyomaliza kero ya maji Songea
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.