• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BILIONI moja kutatua changamoto za miundombinu Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: May 23rd, 2021

Halmashauri ya Manispaa ya Songea imepokea fedha shilingi bilioni  moja kutoka kwa Mheshimiwa Mbunge jimbo la Songea Mjini kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu na afya katika Manispaa ya Songea.

Hayo yamebainishwa na Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Michael Mbano wakati akiongoza kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea leo tarehe 21 Mei 2021, na Kuhudhuriwa na Mheshimiwa Mbunge  wa jimbo la  Songea Mjini Dr. Damas Ndumbaro Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na viongozi na wananchi  mbalimbali  Manispaa ya Songea.

Mbano akitoa shukurani hizo kwa Mbunge wa jimbo la Songea Mjini ambapo alisema “Fedha hizo zitasaidia  kupunguza baadhi ya  changamoto  zinazowakabili  wananchi  hususani  miundombinu ya shule pamoja na  vituo vya afya.

Amewataka Waheshimiwa Madiwani kusimamia vizuri fedha hizo na kuhakikisha zinatumika katika kuleta maendeleo kwa wananchi hasa katika Nyanja za elimu na afya katika maeneo yao. ‘Alisisita’

Alisema Manispaa ya Songea imeweka  mpango  mkakati  wa kuhamisha soko la mazao Sodeco na kupelekwa  eneo la Msamala ambapo hadi sasa Soko hilo linafanyiwa  marekebisho ambayo yamefikia asilimia 70% na baada ya kukamilika hatua zote za ujenzi  litaanza kutumika.

Naye Mh. Mbunge wa Jimbo la  Songea Mjini Dr.  Damas Ndumbaro amewasisitiza Waheshimiwa Madiwani kusimamia na kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi  ili kuleta maendeleo katika Manispaa ya Songea na kuhakikisha wanasikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi  zinazowakabili katika maeneo yao.


Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI ya Siasa Ruvuma yakagua jengo la DED Mbinga

    February 08, 2023
  • MAKITA sekondari wamshukuru Rais Samia kuwajengea madarasa

    February 08, 2023
  • TARURA yatumia bilioni moja kujenga lami Mbinga

    February 08, 2023
  • NDEGE mwenye uwezo wa kusafiri Dunia nzima humpumzika ndani ya hifadhi ya Gesimasowa Ruvuma

    February 08, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.