• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HALMASHAURI ya Madaba Mkoa wa Ruvuma ina ardhi yenye rutubu kwa kilimo cha Palachichi

Imewekwa kuanzia tarehe: December 1st, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Madaba  Mkoa wa Ruvuma inamaeneo mazuri yenye rutuba kwaajili ya kilimo cha mazao ya Biashara na Chakula ikiwemo zao la Palachichi.

Hayo yamesemwa na Afisa kilimo  Umwagiliaji na ushirika (W) zao la  Palachichi linalolimwa  Halamashauri ya Wilaya  ya Madaba huzalisha Tani 281.8 katika eneo la Hekta 192.5.

Mrimi amesema  zao hilo linalolimwa kata ya Mhanje,Lituta,Mateteleka,Wino na Mkongotema na uzalishaji wake ni mchache hivyo wawekezaji wanakaribishwa kuwekeza katika maeneo ya Halmashauri hiyo ili kuongeza uzalishaji kwa wingi na ardhi ya Madaba ni nzuri kwa kilimo  ya zao hilo.

“Wananchi wanamwitikio mkubwa kulima zao hilo  na wawekezaji waliopo Silverlands Ndolela Ltd ana hekta 95,Kampuni ya Interfruit na inaendelea kulima zao hilo hekta 1200,Shirika la masister  st Getrude kijiji cha Ndelenyuma  wamepanda jumla ya heka 40 na wakulima wadogo  jumla ya heka 59”. Amesema Mrimi.

Hata hivyo Mrimi amesema zao la Palachichi linastawi katika eneo kubwa la Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kutokana na hali nzuri ya hewa  na udongo wenye rutuba ya kutosha.

‘’Uzalisha wa Zao la Pala chichi eneo la Halmashauri kwa sasa ni mdogo na tunategemea soko la ndani kwa kiasi kikubwa  na kiasi kidogo huuza nje ya Halmashauri”.

Amesema miongoni mwa juhudi wanazoendelea kukuza uzalishaji wa zao hilo Halmashauri inashirikiana na  Taasisi ya Tanzanice,Proganic Tanzania LTD,Ofisi ya Maendeleo Jimbo Katoliki la Njombe,Interfruit,Slverlands Ndolela ltd,Shirika la Masister  st Getrude Ndelenyuma na wakulima wadogo.

Mrimi amesema zao hilo linakabiliwa kuzalishwa kwa uchache kwa sababu hakuna wawekezaji wengi kutoka sehemu zingine isipokuwa ni wenyeji wa Halmashauri hiyo hivyo husababisha uzalishaji kuwa mdogo.

Imeandaliwa  na Aneth Ndonde

Afisa Habari Halmashauri ya Madaba

Desemba 1,2020.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara March 30, 2024
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2024
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NIMEKUJA kusikiliza kero zetu na kuzitafutia ufumbuzi-RC Ruvuma

    November 30, 2023
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Mputa Namtumbo

    November 30, 2023
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma mgeni rasmi siku ya UKIMWI

    November 30, 2023
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma akagua ujenzi wa sekondari mpya Kata ya Mputa

    November 30, 2023
  • Tazama zote

Video

WAZIRI APONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA HALMASHAURI YA MADABA
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.