• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HALMASHAURI ya Songea ilivyodhamiria kukabiliana na wafugaji holela

Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mhe.Mennas Komba ametoa onyo kwa Watendaji na Viongozi wa Halmashauri hiyo kukumbatia migogoro ya wakulima na wafugaji katika maeneo mbalimbali.

 Mhe. Komba ametoa onyo hilo katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo katika kijiji cha Lundusi.

Mhe.Komba ametoa onyo hilo kufuatia kuripotiwa matukio ya migogoro baina ya wakulima na wafugaji inayoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali ndani ya Halmashauri.

“Nimepokea ujumbe kwanjia ya simu wananchi wanalalamika kuhusu uwepo wa ngo’mbe katika maeneo ambayo ni ya wakulima”,amesisitiza Mhe.Komba.

Kufuatia kadhia hiyo Mhe.Komba ameahidi kwenda katika maeneo ambayo  yanamigoro kwa  lengo la kufanya mikutano ya hadhara ili kubaini ukweli wa chanzo cha migogoro hiyo na kuitafutia ufumbuzi.

Kwa upande mwingine Halmashauri ya Wilaya imeshakwisha tenga maeneo kwa ajili ya kupima vitalu na kuvigawa kwa wafugaji kwaajili vya kuchungia mifugo yao  katikaVijiji vya Magwamila,Lugagara,Litowa,Mhepai na Nambendo,ambavyo vitatolewa kwa mfugaji yoyote anayehitaji kwa masharti ya kukidhi vigezo  kwa mujibu wa taratibu na sheria za Nchi.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI CCM Mkoa wa Ruvuma akipanda Mti

    February 03, 2023
  • MAJENGO ya Zahanati ya Kipingo-Madaba

    February 03, 2023
  • Ruvuma ya kijani

    February 03, 2023
  • Ujenzi wa Stendi mpya ya kisasa Songea-DC

    February 02, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.