• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HATIMAYE Clabu ya Wapinga Rushwa Mbinga Girls waunga mkono ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2021

Imewekwa kuanzia tarehe: September 4th, 2021

MRADI wa Clabu ya wapinga Rushwa katika Halmashauri ya Mbinga imezinduliwa na Kiongozi wa Mbio za  Mwenge wa Uhuru Kitaifa Lt .Josephine Mwambashi.

Akisoma taarifa hiyo leo katika uzinduzi huo Mwanachama wa Clabu ya wapinga Rushwa  kutoka shule ya wasichana Mbinga girls Imelda Kapinga amesema clabu hiyo inawanachama 161 na walimu walezi 2.

Hata hivyo amesema Clabu hiyo ya wapinga Rushwa ya Mbinga girls ilianzishwa mwaka 2017 ikiwa na wanachama 40 na kuimalika mwaka 2018 baada ya viongozi kutoka Wilaya ya Mbinga kutembelea mara kwa mara na kutoa Elimu.

“Hatimaye ilizinduliwa rasmi na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Charles Francis Kabeho tarehe 04/06/2018”.

Kapinga ameelezea mafanikio ya Clabu hiyo ya wapinga rushwa katika shule hiyo kuongeza wanachama mara dufu zaidi tangu kuanzishwa kwake,kusambaza elimu ya kuzuia na kupambana na rushwa katika familia,utunzi wa nyimbo,ngonjera,mashairi,ngoma,maigizo na uchoraji wa katuni.

“Matarajio ya mradi wa clabu hiyo kuanzisha bustani  ya matunda utakaowezesha kutembelea makundi ya watu wenye mahitaji maalumu na shughuli hizo zitazidi kutuunganisha wanachama katika mapambano dhidi ya rushwa”.

Kapinga amewapongeza walezi wa clabu ya Takukuru akiwemo Mkuu wa Shule na wanachama wote kwa  ujumla na kaulimbiu inayosema kupambana na rushwa ni Jukumu langu.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Josephine Mwambashi mara baada ya kuwasikia wanaclabu ya kupinga rushwa amesema wawe mstari wa mbele kutoa taarifa katika taasisi ya Takukuru mara baada ya kupata changamoto ya vitendo vya rushwa

Mwambashi amesema Clabu hizi zinaandaliwa sehemu mbalimbali katika shule za msingi na Sekondari na zinasaidia kutoa elimu kwa jamii  na kuwaelimisha ndugu jamaa na marafiki ili kusaidia Serikali kutokomeza Rushwa.https://www.youtube.com/watch?v=e3PBMxMsdNY

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoa ofisi ya Habari Mkoa wa Ruvuma

Septemba 4,2021

 

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 March 31, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ZIARA ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) Manispaa ya Songea

    April 01, 2023
  • WAKULIMA Ruvuma kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora

    April 01, 2023
  • BILIONI 43 zinavyotekeleza miradi ya TARURA Ruvuma

    April 01, 2023
  • SIMBA wawili kuwasili Ruhila Zoo Songea kabla ya Pasaka

    April 01, 2023
  • Tazama zote

Video

RAIS SAMIA alivyomaliza kero ya maji Songea
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.