• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HATIMAYE RUATI kuhitimsha mafunzo ya kilimo biashara

Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2022

TAASISI isiyo ya kiserikali ya RUATI imehitimisha mafunzo ya kilimo biashara ambayo yamefanyika siku mbili kwa wanakundi cha wanawake  wa katoliki (Karismatiki) katika ukumbi wa Mshangano Songea, mkoani Ruvuma

Akizungumza baada ya kuhitimisha mafunzo hayo mratibu wa Rural and Urban Agricultulral Tenchnology Initiatives (RUATI) Mkoa wa Ruvuma Mohamed Waziri alisemesa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea  uwezo wakulima, wafugaji na wavuvi wadogo waweze kuzalisha kwa tija.

“Tunachofanya ni kuwaelewesha njia bora za uzalishaji pamoja na matumizi sahihi ya mbolea lakini vile vile matumizi sahihi ya mbegu bora ambazo zinafanya azalishe kwa tija kwa eneo dogo pia apate kiasi kikubwa cha mazao”, alisema Waziri.

Mmoja wa wanakikundi hicho, Mariana Kiwili alisema mafunzo hayo ni muhimu kwa wakulima inafaida kubwa kwani inamjengea Mkulima uwezo wa kujua njia sahihi za kilimo na kuacha kulima kwa mazoea.

“Kwa kweli tumefurahi kupata mafunzo haya maana tulikuwa tunalima kwa njia ambayo ilikuwa sio bora na kupelekea kupata mazao machache na tunaamini mwaka huu utakuwa ni mwaka wa mavuno mengi baada ya kupata elimu kwenye mafunzo haya” alisema Kiwili.

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 October 14, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara December 31, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SERIKALI kuendelea kutoa mbolea ya ruzuku

    September 24, 2023
  • PPRA yatangaza kufunga rasmi mfumo wa ununuzi wa TANePs Septemba 30 mwaka huu

    September 23, 2023
  • MKUU wa Mkoa alivyomkabidhi Mkakati wa Utalii Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma

    September 23, 2023
  • CHIFU wa Wangoni alivyokabidhiwa Mkakati wa Utalii Mkoa wa Ruvuma

    September 23, 2023
  • Tazama zote

Video

WAZIRI APONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA HALMASHAURI YA MADABA
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.