SERIKALI imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1.9 kutekeleza mradi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Hospitali hiyo imejengwa katika kijiji cha Mpitimbi na tayari imeanza kuhudumia wananchi wa Songea vijijini na kwamba baadhi ya wananchi kutoka Jimbo la Niassa mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kupitia Mkenda wanafika kupata matibabu.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=g0-YFWy_0yA&t=24s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.