• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma akagua miradi ya maendeleo Songea vijijini

Imewekwa kuanzia tarehe: August 21st, 2020

Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bw Steven Ndaki amehimiza ukamilishaji wa ujenzi wa miradi ya maendeleo inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

Ndaki amesema hayo alipotembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya Songea hivi karibuni.

Ndaki amesema ameridhishwa na  ujenzi wa miradi inayoendelea kujengwa pia amepongeza kazi nzuri iliyofanywa na kuagiza dosari ndogo ndogo  zirekebishwe.

“Jitihada iongezwe ili miradi yote ikamilike na ianze kutoa huduma kwa wananchi”,alisema Ndaki.

Ametoa  rai kwa wananchi kuanza kupata matibabu katika Hosptali ya Wilaya ya Mpitimbi ambayo imeanza kutoa huduma hiyo kuanzia Julai 15 mwaka huu.

Ameagiza katika  ujenzi wa miradi ya maendeleo inyotekelezwa ndani ya mkoa kwa njia ya force akaunti suala la uzalendo ni muhumu likapewa kipaumbele kwasababu linalinda maslahi  na uaminifu katika ujenzi na utekelezaji wa mradi husika.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Simon Bulenganija ameishukuru timu ya ukaguzi kwa kukagua miradi na kutoa mapendekezo ambayo yanasaidia kuboresha ujenzi wa miradi hiyo.

Bulenganija amesema jitihada za ukamilishaji wa miradi zitaongezwa na miradi itakamilika na kuanza kutoa huduma kama lengo la serikali linavyoelekeza la utoaji huduma kwa wananchi hasa wanyonge.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma katika ziara hiyo amekagua Jumla ya miradi nane ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya cha  Matimira, Magagura,Hosptali ya Wilaya iliyopo Mpitimbi na miradi mitano ya ujenzi wa vyoo bora (SWASH) vinavyojengwa  katika shule  za Msingi Mpitimbi, Mkurumusi,Peramiho ,Mapinduzi na Humbaro.

Imeandikwa na

JACQUELEN CLAVERY

AFISA HABARI SONGEA DC.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara July 31, 2022
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2022
  • MKATABA wa Lishe Mkoa wa Ruvuma June 30, 2022
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 August 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAWA Ruvuma wakamata meno ya tembo

    May 18, 2022
  • WWF yazindua elimu ya uhifadhi kwa shule za msingi Ruvuma

    May 17, 2022
  • FUKWE za Nyasa

    May 17, 2022
  • VIVUTIO vya utalii Nyasa

    May 17, 2022
  • Tazama zote

Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali apongeza Mkoa wa Ruvuma kwa kuongoza habari mtandaoni
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.