• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KAYA 1498 Ruvuma kufanyiwa sensa ya kilimo,mifugo na uvuvi

Imewekwa kuanzia tarehe: September 2nd, 2020

Kaya 1498 zimechaguliwa Mkoani Ruvuma  kwa ajili ya Sensa ya kilimo,Uvuvi,na Ufugaji ambayo inafanyika kwa  siku 60 kuanzia Agosti 5 hadi Oktoba 3 mwaka huu.

Hayo yamesemwa  na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma  Seligius Ngai wakati anazungumza baada ya  kukagua zoezi la sense hiyo katika kijiji cha Mbingamhalule wilayani Songea.

Ngai amesema zinahitaji Takwimu rasmi  zinazopatikana kupitia mazoezi kama hayo zinazowezesha kujua kwenye changamoto mbalimbali katika sekta za kilimo,mifugo na uvuvi.

“Serikali inatakiwa kupata Takwimu sahihi inapoandaa mipango yake katika sekta isiwe na takwimu za kufikilika bali iwe na takwimu rasmi kupitia sheria ya 2015 inatoa majukumu kwa wadau wanao hojiwa,na waandishi wa habari na vyombo vyao’’,alisema.

Meneja wa Takwimu Mkoa wa Ruvuma Mwantumu Uhenga amesema zoezi hilo kinafanyika katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma na kwamba hii ni mara ya tano kufanyika sensa ya kilimo,mifugo na uvuvi ambayo kwa mara ya kwanza ilifanyika ,mwaka 1974.

Uhenga amesema kutakuwa na madodoso matatu  ambayo ni dodoso la wakulima wadogo,wakulima wakubwa na dodoso la jamii.

 Afisa mahusiano ofisi ya Taifa ya Takwimu Said Ameir amesema sensa ya kilimo,Uvuvi,na Ufugaji  inafanyika ili kutekeleza  maendeleo ya nchi yetu ili kupata takwimu sahihi na mipango sahihi na kwamba matokeo ya sensa hiyo ni muhimu  kwa mwananchi .

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Ofisi ya Habari Mkoa 

31 Agosti 2020.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAZAZI 763 wakamatwa Tunduru kwa kutopeleka watoto shule

    January 27, 2023
  • HERI ya Siku ya Kuzaliwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    January 27, 2023
  • RUVUMA waadhimisha kuzaliwa kwa Rais Dkt Samia kwa kupanda miti

    January 27, 2023
  • MATUKIO picha

    January 27, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.