• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KIFO cha Mwenyekiti wa Wafanyabiashara chaacha Pengo Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: August 26th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi. Mary Makondo, amesema kifo cha mfanyabiashara maarufu Titho Mbilinyi, anayejulikana zaidi kama Mwilamba, kimeacha pengo kubwa si tu kwa familia yake bali pia kwa jamii nzima na maendeleo ya mkoa wa Ruvuma.

Akitoa salamu za pole kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed nyumbani kwa marehemu Mwilamba mjini Songea, Makondo amesema Mwilamba atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kuwaunganisha wafanyabiashara, kusimamia masuala ya uchumi, na kushirikiana na serikali katika kuhamasisha uwekezaji na kukuza biashara.

Amesema Mwilamba alikuwa mstari wa mbele kusikiliza changamoto za wafanyabiashara na kuzifikisha katika mamlaka husika, wakati huo huo akisisitiza mshikamano na ushirikiano wa kweli kati ya serikali na sekta binafsi.

Makondo amesisitiza kuwa jamii imepoteza mtu muhimu, kiongozi shupavu na mzalendo wa kweli, hivyo ameihimiza jamii kuenzi mema yote yaliyofanywa na marehemu na kuyatumia kama dira ya kuendeleza mshikamano na maendeleo ya pamoja katika mkoa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Komredi Oddo Mwisho, amesema Mwilamba ni miongoni mwa watu waliotoa mchango mkubwa katika utekelezaji wa ilani ya chama kupitia huduma alizotoa kwa jamii hususan katika masuala ya kilimo.

Ameeleza kuwa Mwilamba alikuwa akijitahidi kuwasilisha changamoto za wafanyabiashara katika ofisi za chama, kutafuta suluhisho bila kutumia nguvu, na kushirikiana na serikali katika kuwaelimisha na kuwaelekeza wafanyabiashara na kuwafanya wafanyabiashara wa Ruvuma kuwa waungwana na wasikivu licha ya changamoto walizokuwa wakikutana nazo.

Kwa upande wake aliyekuwa Mbunge wa Songea Mjini, Dkt. Damas Ndumbaro, amesema mchango wa mfanyabiashara Mwilamba katika mji wa Songea, mkoa wa Ruvuma na Taifa ni mkubwa na hauwezi kufutika, hivyo ni vema kufuata nyayo zake katika kushirikiana na watu na kuleta maendeleo.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • HALMASHAURI ya wilaya ya Songea yapitisha bajeti ya bilioni 34

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777