SERIKALI inajenga Kituo cha Afya Kindimbachini Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.Mradi huo uliofikia asilimia 85 unatekelezwa kwa shilingi milioni 500 kupitia tozo za miamala ya simu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.