• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KUMBUKIZI la miaka 114 ya mashujaa wa Vita ya Majimaji Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2021

MAKUMBUSHO ya Taifa  ya Majimaji yaliyopo Mahenge mjini Songea,ni miongoni mwa makumbusho saba ya Shirika la Makumbusho ya Taifa na vituo 91 vya kale vilivyopo nchini.

Makumbusho ya  Majimaji yalianzishwa na kufunguliwa Julai 6,1980, na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt.Lawrence Gama,lengo la kuanzisha makumbusho hayo ni kutunza kumbukumbu ya historia ya vita ya Majimaji iliyoanza mwaka 1905 hadi 1907.

Mhifadhi wa Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Adson Ndyanabo anasema  Makumbusho hiyo imejengwa katika eneo  eneo ambalo mashujaa 67 walizikwa baada ya kunyongwa kikatili na wajerumani.

Analitaja eneo hilo la mashujaa maarufu kama hero square  kuna makaburi mawili ya mashujaa moja ni la halaiki ambalo wamezikwa mashujaa 66 katika kaburi moja baada ya kunyongwa na serikali ya wakoloni wa kijerumani Februari 27,1906.

Kwa mujibu wa Mhifadhi huyo,kaburi la pili lililopo kwenye makumbusho hayo ni la Jemedari wa wangoni,Nduna (Sub chief) Songea Mbano aliyenyongwa  Machi 2,1906.Mji wa Songea umepewa jina la jemedari huyo.

“Tangu kuanzishwa kwa makumbusho hii usimamizi wake ulikuwa unabadilika mara kwa mara ,kati ya mamlaka ya Mkoa,Halmashauri ya Manispaa ya Songea na Baraza la Makumbusho ya Majimaji na desturi za Mkoa wa Ruvuma’’,anasisitiza Ndyanabo.

Hata hivyo anasema Desemba 8,2009,Makumbusho ya Majimaji yalikabidhiwa kwa Shirika la Makumbusho ya Taifa la Tanzania,baada ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuitangaza kuwa Makumbusho ya Taifa kupitia Sheria ya Makumbusho ya Taifa namba saba ya mwaka 1980.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2022
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2022
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 July 31, 2025
  • OR TAMISEMI yatoa Mwongozo kwa wanafunzi wa kidato cha Tano kubadilisha Shule tahasusi June 06, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • IBUGE Akabidhi ofisi rasmi

    August 06, 2022
  • RUVUMA Kinara chanjo ya UVIKO 19

    August 06, 2022
  • JENERALI Ibuge akabidhi ofisi kwa Kanali Laban

    August 06, 2022
  • WAKULIMA Ruvuma wajifunza teknolojia Mpya

    August 05, 2022
  • Tazama zote

Video

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SENSA KWA MAKARANI NA WASIAMAMIZI WA MAUDHUHI
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.