• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

LUEGU kivutio cha utalii wa kishujaa na harakati za ukombozi wa Tanganyika

Imewekwa kuanzia tarehe: September 21st, 2025

Katika historia ya ukombozi wa Tanganyika, majina ya viongozi na mashujaa mashuhuri mara nyingi ndiyo hubaki yakihusishwa na harakati za kisiasa.

Lakini, kwenye kijiji kidogo cha Luegu, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma, ipo siri ya kuvutia ambayo haijasimuliwa mara nyingi—siri iliyojikita kwenye vihenge vya chakula vya kienyeji. Hapo ndipo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alijificha kwa siku mbili nzima, akiepuka mikono ya wakoloni waliokuwa wakimtafuta kwa udi na uvumba mnamo Novemba 24–25, 1955.

Mkulima Kijana Aliyekuwa Ngao ya Taifa

Leo hii, shahidi hai wa tukio hilo ni Mzee Maulid Hassan Mang’unyuka, mwenye umri wa miaka 90. Akiwa kijana wa miaka 20 wakati huo, Mang’unyuka hakuwahi kufikiria kuwa kitendo chake cha haraka na cha ujasiri kingeandika ukurasa wa pekee katika historia ya Tanzania.

“Askari wa kikoloni walikuwa wakizunguka kila kona katika eneo hilo wakimtafuta Mwalimu. Nilimpeleka kwenye vihenge vya chakula vya baba yangu. Tulikaa humo naye tukila ugali wa ulezi na kuku huku wakizungumza na baba yangu. Alikuwa na ari kubwa, akizungumza kuhusu Tanganyika kupata uhuru,” anasimulia Mang’unyuka kwa sauti yenye ukongwe lakini yenye kumbukumbu safi.

Nyerere: Mkulima, Mwalimu na Kiongozi

Mikono iliyojenga taifa hili ilikuwa ya watu wa kawaida—wakulima, vijana na wazee waliokuwa tayari kuhatarisha maisha yao. Wakati huo, Tanganyika ilikuwa koloni la Waingereza, huku harakati za kudai uhuru zikionekana kama tishio kwa dola ya kikoloni.

Nyerere, akiwa mwalimu wa zamani na kiongozi wa chama kipya cha TANU, aliamua kusafiri vijijini kuhamasisha wananchi. Ndipo alipojikuta akikimbia askari waliokuwa wakimlenga kama mtu “hatari” kwa mustakabali wa wakoloni. Luegu ikawa ngome yake ya siri.

Kihistoria na Kimaisha: Namtumbo, Kitovu cha Ukombozi

Wilaya ya Namtumbo leo inajulikana kwa misitu yake, mashamba ya mahindi na  tumbaku. Lakini nyuma ya mandhari hayo ya kijani, kuna historia nzito ya kitaifa.

 Kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS, 2022), Namtumbo ina zaidi ya wakazi 185,000, wengi wao wakiishi maisha ya kilimo kama vizazi vyao.

Kijiji cha Luegu kimeendelea kubeba alama ya kihistoria. Serikali imeboresha mnara wa kumbukumbu alipojificha Mwl.Nyerere, ikiwa sehemu ya juhudi za kuhifadhi urithi wa taifa. Mnara huo sasa unakuwa kivutio cha kihistoria na utalii wa ndani na nje ya nchi.

Kizazi cha Leo na Funzo Kubwa

Kihistoria, kile kilichoonekana kama kitendo cha kawaida cha kumficha mtu kwenye ghala la chakula, leo kinabeba maana kubwa. Kizazi cha leo kinaalikwa kuona kwamba uhuru wa Tanganyika haukupatikana kwa urahisi, bali kwa jasho, ujasiri na mshikamano wa wananchi wa kawaida.

Mikono ya kijana wa miaka 20, mzee Mang’unyuka wa sasa, ilibeba siri ya taifa. Na ndani ya vihenge vya chakula, Nyerere hakuficha tu mwili wake—bali alilinda pia ndoto na matumaini ya taifa jipya.

 Siri Iliyogeuka Urithi

Luegu si kijiji tu cha kawaida,ni alama ya ukombozi na ishara kwamba historia ya taifa hili haikuandikwa Dar es Salaam pekee, bali pia katika vijiji vidogo visivyojulikana.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA ardhi Ruvuma wakabidhiwa vitendeakazi

    February 09, 2026
  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88