TAREHE: Jumanne, 14 Oktoba 2025
MAHALI: Uwanja wa Majimaji, Manispaa ya Songea
MUDA: Kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 5:15 asubuhi
KAULI MBIU:
“Tumuenzi Baba wa Taifa kwa Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na Utulivu.”
Mbio za Jogging za Kumuenzi Baba wa Taifa
Kuanzia Ofisi za Mkuu wa Wilaya hadi Uwanja wa Majimaji
Washiriki: Vyombo vya Ulinzi, Watumishi wa Umma, Skauti, Vikundi vya Utamaduni, Wananchi wote
Burudani Kabambe za Utamaduni & Ngoma za Asili
Vikundi vya Utamaduni vitatumbuiza kwa nyimbo na ngoma maalum
Michezo ya Mpira wa Miguu & Netball
Mashindano ya kuvutia yenye zawadi kemkem kwa washindi
Kukabidhi Zawadi kwa Washindi & Hotuba Maalum ya Mgeni Rasmi
Shuhudia heshima ikitolewa kwa washiriki na viongozi mbalimbali wa Mkoa
Washiriki wa Jogging wafike kabla ya saa 12:00 asubuhi kwa maandalizi.
Askari wa Usalama Barabarani watatoa ulinzi na kuongoza msafara.
Gari la PA litatoa matangazo ya hamasa na ujumbe wa kitaifa.
USIKOSE!
Njoo tumuenzi Baba wa Taifa, tuimarishe umoja, amani na uzalendo.
Hudhuria, shiriki, burudika na ujifunze!
TOVUTI RASMI: www.ruvuma.go.tz
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.