• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MAAGIZO ya Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI kwa RS

Imewekwa kuanzia tarehe: July 10th, 2022

SEKRETARIETI ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZATAKIWA KUWASILISHA MPANGO KAZI WA MATUMIZI YA FEDHA 2023/23


Na. Angela Msimbira, OR-TAMISEMI


Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa zimitakiwa kuanda taarifa ya mpango kazi wa mtiririko wa Fedha na manunuzi kwa mwaka 2022/23 na kuwasilisha katika Ofisi ya Rais TAMISEMI kabla ya July 20, Mwaka huu.


Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia TAMISEMI  Ramadhani Kailima leo wakati wa kufunga kikao kazi cha makatibu tawala wasaidizi sehemu ya Mipango, Uratibu na Usimamizi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Maafisa Mipango, Takwimu na Ufatiliaji na Waweka Hazina wa Halmashauri leo Jijini Dodoma

Kailima amesema kuwa Mikoa inatakiwa kuhakikisha inakamilisha marekebisho yote ya bajeti ili iweze kuingizwa katika mfumo wa matumizi kabla ya tarehe Julai 11 mwaka huu na kuzitaka Halmashauri zinazopokea fedha za hisani za makampuni  kwa jamii zihakikishe fedha hizo zinaingizwa  kwenye mipango ya  bajeti za Halmashauri husika.


Amesisitiza kuwa Mikoa ifanye uchambuzi wa fedha za maendeleo zinazopelekwa katika miradi ya maendeleo kulingana na asilimia 40 kwa 60 za uchangiaji kutokana na kuhakikisha fedha hizo zinatekeleza miradi ya maendeleo iliyopangwa na Serikali.


“Nendeni mkahakiki maeneo ya utekelezaji wa miradi kabla ya fedha za miradi kutolewa ili kujiridhisha na maeneo hayo kutokuwa na migogoro ya umiliki wa ardhi”, amesisitiza Kailima


Ameendelea kuziagiza Sekretarieti za Mikoa kuhakikisha wanazisimamia Halmashauri kuhakiki maeneo yatakaojengwa miradi ya maendeleo kama elimu na afya kupimwa na kupata hati miliki kisheria.

Aidha amezitaka Sekretarieti za Mikoa kuhakikisha Halmashauri zinaandaa taarifa  ya miradi viporo iliyopo katika maeneo yao na kubainisha sababu za kuwepo miradi  hiyo na kuwasilisha Ofisi ya Rais -TAMISEMI kabla ya tarehe 25/07/2022

MWISHO

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAZAZI 763 wakamatwa Tunduru kwa kutopeleka watoto shule

    January 27, 2023
  • HERI ya Siku ya Kuzaliwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    January 27, 2023
  • RUVUMA waadhimisha kuzaliwa kwa Rais Dkt Samia kwa kupanda miti

    January 27, 2023
  • MATUKIO picha

    January 27, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.