PORI la akiba Liparamba ambalo lilianzishwa rasmi mwaka 2000 limebarikiwa kuwa na vivutio vya utalii vya aina mbalimbali vikiwemo maporomoko ya Nakatuta,wanyamapori wa aina mbalimbali kama tembo,simba ,chui,viboko,nyati,ndege wa aina mbalimbali na mimea na miti yenye maaajabu kama vile miti inayogeuka mawe na miti yenye uwezo wa kutoa maji ya kunywa.
Tazama hapa makala ya kina ya https://www.youtube.com/watch?v=E6MKwwNO-mo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.