Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala Msaidizi Ndugu Jumanne Mwankhoo inaendelea kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo.
Hapa ni mradi wa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa vyenye thamani ya shilingi milioni 80 katika shule ya msingi Mkongo Nakawale.
Menejimenti imeaagiza dosari zote zikizojitokeza kufanyiwa marekebisho na kuhakikisha mradi unakamilika haraka
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.