• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MKOA wa Ruvuma watoa chanjo ya Polio kwa asilimia 122.2

Imewekwa kuanzia tarehe: September 7th, 2022

MKOA wa Ruvuma umefanikiwa kutoa chanjo ya polio kwa Watoto 398,029 sawa na asilimia 122.2.

Katibu Tawala Msaidizi ,Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii Mkoani Ruvuma Dr.Lous Chomboko amesema Mkoa ulilenga kuchanja Watoto 325,746 katika awamu ya tatu ya kampeni dhidi ya chanjo ya polio iliyoanza Septemba Mosi hadi Septemba nne 2022.

“Utekelezaji wa kampeni ya utoaji chanjo ya polio ya matone awamu ya tatu kwa Watoto chini ya miaka mitano  umefanyika kwa mafanikio makubwa,mikakati yetu  ni kuongeza wigo wa ufuatiliaji toka ngazi ya Mkoa hadi Halmashauri ili kudhibiti kabisa polio’’,alisisitiza Dr.Chomboko.

Amesema serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO lilitangaza uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa polio  Februari 17,2022 katika jiji la Lilongwe nchini Malawi,hivyo Tanzania iliamua kufanya kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya polio kwa Watoto chini ya miaka mitano ili kuudhibiti.

Mkoa wa Ruvuma ulikuwa kinara  kitaifa katika utoaji chanjo ya polio kati ya mikoa minne ya awamu ya kwanza iliyotekeleza kampeni ya polio,mwaka 2021 kwa kufanikiwa kutoa chanjo ya polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kwa asilimia 122 .

Mgonjwa wa mwisho wa polio aligundulika nchini Tanzania katika Mkoa wa Mtwara mwaka 1996.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ruvuma

Septemba 9,2022

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 March 31, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAKULIMA wa Ufuta washauriwa kuzalisha kwa wingi msimu ujao

    June 08, 2023
  • SERIKALI yawajengea uwezo Maafisa tehama na Maafisa habari-Mkoa Ruvuma

    June 08, 2023
  • TUMIENI mfumo wa stakabadhi ghalani-RC RUVUMA

    June 08, 2023
  • HABARI picha

    June 08, 2023
  • Tazama zote

Video

HAIJAWAHI kutokea Namtumbo wanunua ufuta kilo sh.4105,wapongeza mfumo wa stakabadhi
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.