Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif amewahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Tarehe 27.11.2024.
Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na wanachama wa vyama vya ushirika na Masoko 10 katika hafla ya uzinduzi wa kupokea mbolea mifuko 13,501 katika Kijiji cha Kingerikiti wilayani Nyasa, yenye thamani ya shilingi million 838,146,600 iliyonunuliwa na wakulima kupitia Vyama vya Ushirika Wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.