• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MWENYEKITI wa UWT Taifa akagua mradi wa sekondari ya wasichana Mkoa wa Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: July 27th, 2023

Mwenyekiti wa UWT taifa Mary Chatanda amewasifu viongozi wa wilaya ya Namtumbo Kwa kusimamia vyema fedha za miradi inayotekelezwa Katika wilaya ya Namtumbo .

Akizungumza mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa sekondari ya wasichana iliyopewa jina La Dkt.Samia Suluhu Hassan ,Mradi wa ujenzi wa Jengo la Mama ngojea katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo alisema anawasifu viongozi wa wilaya ya Namtumbo Kwa kusimamia vyema fedha za miradi Kwa kuwa na majengo Bora yanayoakisi matumizi sahihi ya fedha zilizotolewa.

"Nimefurahishwa Sana na usimamizi wa fedha za miradi inayotekelezwa Katika wilaya ya Namtumbo  ,miradi mizuri inapendeza inayolingana na gharama halisi ya fedha iliyotolewa na Serikali alisema Chatanda.

Pamoja na hayo Mwenyekiti waUWT. taifa aliwaagiza viongozi hao kuhakikisha mabweni ya Sekondari ya Dkt.Samia Suluhu Hassan  yanakuwa na maji ya uhakika ,umeme wa uhakika muda wote Ili Shule hiyo iendane a hadhi ya Dkt Samia Suluhu Hassan.

Hata hivyo Mwenyekiti huyo aliwataka walimu watakaofundisha shule hiyo kuhakikisha wanafundisha Kwa kujituma Ili wanafunzi waweze kufanya vizuri huku akiwaahidi walimu pikipiki Ili waweze kuwahi kazini , kutokana na walimu kukosa Nyumba za kuishi jirani na maeneo ya shule hiyo

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Vita Kawawa pamoja na kumshukuru Mwenyekiti wa UWT taifa Kwa kujionea mwenyewe kuhusu utekelezaji wa miradi alimwomba kuzifikisha salamu za  shukrani za wananchi wa wilaya ya Namtumbo Kwa  Mheshimiwa Rais ,Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kuwapatia fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo .

Mhandisi wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Robert Magesa alimwambia Mwenyekiti huyo kuwa ujenzi wa miradi mbalimbali unaendelea vizuri wilayani humo Kwa kuzingatia miongozo iliyopo na uwepo wa usimamizi wa karibu wa viongozi Ili miradi hiyo ikidhi viwango vilivyowekwa na Serikali kulingana na fedha tolewa alisema Magesa.

Mwenyekiti wa UWT taifa Mary Chatanda alikagua mradi wa ujenzi wa sekondari ya Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na jengo la mama ngojea na kusema kuwa anawasifu viongozi wa wilaya ya Namtumbo Kwa kusimamia ujenzi wa miundombinu hiyo na kudai kuwa ameridhika na ubora na uzuri wa majengo hayo.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara November 30, 2026
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2026
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2026
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAKAMU wa Rais atua Ruvuma

    March 14, 2026
  • WAKUU wa Idara Nyasa wanolewa kijiditali

    March 14, 2026
  • WAZIRI wa viwanda na Biashara akagua kituo cha afya Mkumbi Mbinga

    March 14, 2026
  • KAMATI ya Siasa yakagua miradi ya bilioni tano Nyasa

    March 12, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto