• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

NYASA wazindua mradi wa maji wa bilioni 3.7

Imewekwa kuanzia tarehe: January 31st, 2025

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma umetambulisha mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Tsh Bilioni 3.7. Mradi huu unalenga kutatua changamoto ya maji safi na salama katika Kata za Kilosa na Mbamba Bay, ukihusisha ujenzi wa miundombinu muhimu kama matenki, mabomba na vituo vya kuchotea maji.

Katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji cha Nangombo, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mh. Peres Magiri, alimtaka mkandarasi kuhakikisha mradi unajengwa kwa ubora na unakuwa endelevu ili fedha za serikali ziendane na thamani halisi ya mradi. 

Meneja wa RUWASA Wilaya ya Nyasa, Mhandisi Masoud Samila, alimtambulisha mkandarasi RJ MUSSA CONSTRUCTION LTD kutoka Dodoma na kueleza kuwa mradi unatarajiwa kukamilika Januari 23, 2026. 

Amesema Mradi huo utawanufaisha wananchi 13,323 kutoka vijiji vya Nangombo, Likwilu, Ruhekei, Kilosa, na Mbamba Bay.

Amezitaja Shughuli zitakazotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa tenki lenye ujazo wa lita milioni moja, ulazaji wa bomba kuu wa kilomita 2.73, usambazaji wa mabomba kilomita 40.6, na ujenzi wa vituo 10 vya kuchotea maji. Lengo kuu ni kupunguza magonjwa ya mlipuko na kuboresha huduma za maji safi na salama kwa jamii.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya, alisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa wananchi katika utekelezaji wa mradi huu.


Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara November 30, 2026
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2026
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2026
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WWF wachochea mapinduzi ya uhifadhi katika kisiwa cha Lundo

    April 02, 2026
  • MRADI wa maji wa bilioni 145 Songea ,wapiga hatua serikali yalenga kumaliza tatizo la maji

    April 02, 2026
  • KANISA la msalaba ;Liuli urithi wa karne unaoishi

    April 02, 2026
  • LIKUNGU kutoka wingu jeusi hadi bidhaa adimu ya lishe bora

    April 02, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto
  • slot
  • wdbro
  • axl777
  • wdbro
  • wdbro
  • wdbro
  • wdbro
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • dora77
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต