• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

PATO la Taifa la Mkoa wa Ruvuma laongezeka

Imewekwa kuanzia tarehe: August 22nd, 2025

PATO la Taifa katika Mkoa wa Ruvuma limeongezeka kutoka shilingi bilioni 2.37 mwaka 2012 hadi kufikia bilioni 6.39 mwaka 2022.

Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Pato la Taifa (GDP) katika kanda hiyo limekuwa linaongezeka mwaka hadi mwaka na kufanya kanda hiyo kuchangia wastani wa asilimia 10.5 ya Pato la Taifa katika Mkoa wa Ruvuma.

Kwa mujibu wa NBS ongezeko hilo limechangiwa Zaidi na uzalishaji katika shughuli za madini na kilimo

Uzalishaji wa madini ya makaa ya mawe Ruvuma

Uzalishaji  wa madini ya makaa ya mawe katika Mkoa wa Ruvuma umekuwa chanzo kikubwa cha mapato ya serikali ambapo katika mwaka wa fedha wa 2023/2024,serikali imeweza kuuza tani 1,356,249.84 za makaa ya mawe zenye thamani ya Dola za Marekani Zaidi ya milioni 144.9.

Afisa Madini  Mkazi Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Alphonce Bikulamchi anasema Kupitia mauzo hayo serikali imekusanya kiwango cha mrabaha wa Dola za Marekani 3,937,434.98 na ada ya ukaguzi Dola za Marekani 914,034.68 na kwamba madini hayo yameuzwa ndani ya nchi,nchi Jirani,barani Ulaya na Asia kupitia bandari ya Mtwara na Dar es salaam.

Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024 Ofisi ya Madini Mkoa wa Ruvuma, ilipangiwa kukusanya jumla ya shilingi bilioni 41 na kwamba katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Desemba ofisi hiyo ilikusanya Zaidi ya shilingi bilioni 13 sawa na asilimia 64.

Uchimbaji na uuzaji wa makaa ya mawe mkoani Ruvuma ulianza mwaka 2011 kukiwa na Kampuni moja ya uchimbaji ya Tancoal Energy ambapo hadi kufikia mwaka 2019 wadau wengi walijitokeza na kufanya uwekezaji mkubwa katika uzalishaji wa madini ya makaa ya mawe.

Leseni za Uchimbaji na Biashara ya Madini

 Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Ruvuma imekuwa ikitoa leseni mbalimbali za uchimbaji na biashara ya madini kama vile leseni za uchimbaji mdogo (PML), leseni za madini ya biashara (Dealers na Brokers).

 Kwa mujibu wa Afisa Madini  Mkazi Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Alphonce Bikulamchi kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2021/2022 hadi 2024/2025, idadi ya leseni zilizotolewa zimekuwa zikiongezeka, huku mkoa ukiwa na jumla ya leseni 144 za utafutaji madini na leseni za uchimbaji mkubwa na wa kati.

Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali:

Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 hadi 2024/2025, Ofisi ya Madini Mkoa wa Ruvuma ilikusanya jumla ya shilingi 105,120,541,415.03, sawa na asilimia 126 ya lengo la makusanyo.

“ Huu ni uthibitisho wa ufanisi katika usimamizi wa makusanyo ya fedha zinazotokana na shughuli za madini, ikichangiwa na ongezeko la mauzo ya madini’’,anasema Mhandisi Bikulamchi

Masoko ya Madini:

Mkoa wa Ruvuma unasimamia masoko mawili ya madini ambayo ni  Soko la Madini ya Dhahabu na Vito lililopo Songea Mjini, na Soko la Madini ya Vito katika Wilaya ya Tunduru.

Afisa Madini Mkazi Mkazi Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Alphonce Bikulamchi anasema Masoko haya yamesaidia kuimarisha biashara ya madini, na kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2021/2022 hadi Disemba 2024, jumla ya madini yaliyouzwa katika masoko haya ilikuwa na thamani kubwa, ikiwemo madini ya vito na dhahabu.

Uzalishaji wa Makaa ya Mawe:

Uchimbaji wa makaa ya mawe katika mkoa wa Ruvuma umeongeza kasi tangu mwaka 2011, na kwa mwaka 2021/2022 hadi 2024/2025, ambapo kiasi cha tani 8,848,176.91 za makaa ya mawe kilikuwa kimeuzwa.

Mhandisi Bikulamchi anasema kutokana mauzo hayo Serikali ilikusanya shilingi 78,797,933,654.78 kupitia mrabaha na ada za ukaguzi na kwamba biashara ya makaa ya mawe  imechangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji wa uchumi wa mkoa.

Meneja Uchimbaji wa kampuni ya Mgodi wa Makaa ya Mawe ya JITEGEMEE Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma Bosco Mabena anasema malori zaidi ya 120 hubeba makaa ya mawe kwa siku katika mgodi huo na kwamba uzalishaji wa madini hayo unafanyika kwa njia za kisasa.

Mabena anasema makaa ya mawe yanayozalishwa kwenye mgodi wa Kampuni ya JITEGEMEE hutumika katika viwanda vilivyopo ndani ya nchi,Afrika Mashariki na nchi za Ulaya na China.

“Huu ni mgodi wa kitanzania ambao unaendeshwa na wazawa kwa asilimia 100,tunavyo vitalu vya makaa ya mawe ambavyo vinachimba makaa ya mawe kwa njia ya kisasa kwa sababu tuna vifaa vya kisasa vikiwemo maabara ya kisasa na mitambo ya kuchakata makaa ya mawe kwa ubora wa hali ya juu’’,alisisitiza Mabena.

Anasema makaa ya mawe yanatumika katika viwanda mbalimbali vikiwemo vya saruji katika mikoa mbalimbali nchini,pia amesema makaa ya mawe yanatumika katika viwanda vya tires,nondo na viwanda vyote vidogo vidogo vikiwemo viwanda vya nguo ambapo amesema wanapakia makaa ya mawe bandari ya nchi kavu zaidi ya 120 kwa siku.

Hata hivyo anasema Kampuni ya JITEGEMEE ina ghala la kutunzia makaa ya mawe katika bandari ya Mtwara lenye uwezo wa kutunza makaa ya mawe zaidi ya tani laki tano kwa ajili ya kuuza katika masoko ya nje ya nchi kupitia bandari ya Mtwara.

Mafanikio ya Sekta ya Madini:

Sekta ya madini mkoani Ruvuma imekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla.

Mhandisi Bikulamchi anayataja baadhi ya mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na ongezeko la makusanyo ya maduhuli kutoka wastani wa shilingi bilioni 21.6 mwaka 2021/2022 hadi kufikia shilingi bilioni 30 mwaka 2023/2024.

Anasema kumekuwepo na ongezeko la mauzo ya makaa ya mawe kutoka wastani wa tani 1.5 milioni mwaka 2021/2022 hadi tani 2.56 milioni mwaka 2023/2024 ambapo anasisitiza kuwa hiyo ni ishara ya mafanikio katika sekta hii ambayo inatoa ajira na kuongeza mapato ya serikali.

Sekta ya madini mkoani Ruvuma inaendelea kuimarika na kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa mkoa na taifa. Uwekezaji wa ziada, usimamizi mzuri wa masoko, na ongezeko la makusanyo ya maduhuli ni baadhi ya mafanikio yanadhihirisha ukuaji wa sekta hii.

Dhamira ya serikali ya Awamu ya Sita ya  kuanzisha  masoko ya kisasa ya madini na ongezeko la idadi ya migodi, kunaufanya mkoa wa Ruvuma kuendelea kuwa kivutio kwa wawekezaji  hivyo kuwa chanzo muhimu cha mapato kwa serikali.

 Biashara ya madini ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma ilishamiri baada ya mauzo jumla ya makaa ya mawe ya tani 450,675.32 ndani ya nchi na tani 1,060,699.05 ziliuzwa nje ya nchi katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2022.

Mwaka 2019 wadau wengi walijitokeza na kufanya uwekezaji katika shughuli za Makaa ya Mawe hali iliyosababisha kuongezeka kwa uzalishaji wa madini hayo kuanzia mwaka 2020.

Uzalishaji wa Madini ya Makaa ya Mawe mkoani Ruvuma unatoa mchango mkubwa kwenye maduhuli yanayokusanywa na Tume ya Madini Mkoani Ruvuma.

Katika kipindi cha hivi karibuni, Makaa ya Mawe yamekuwa yakihitajika sana ulimwenguni kama chanzo cha nishati na hivyo kuwa moja ya chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali.

Katika Mwaka wa fedha 2021/2022, Ofisi ya Madini Mkoa wa Ruvuma ilipangiwa kukusanya maduhuli ya serikali kiasi cha Shilingi bilioni 12,Hata hivyo hadi kufikia Juni 30,2022, Ofisi ya Madini Ruvuma ilikuwa imekusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 21,sawa na asilimia 179 ya lengo la Mwaka huo.

Katika Mwaka wa fedha 2022/2023, Ofisi ya Madini Ruvuma ilipangiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Bilioni 26 hadi kufikia Desemba 31,2022,Ofisi ya Madini Ruvuma ifanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 19 sawa na asilimia 75.25 ya lengo.

Madini ya makaa yam awe yanayochimbwa Ruvuma, huuzwa ndani ya nchi, nchi zinazotuzunguka,barani Ulaya na Asia kupitia bandari ya Mtwara na Dar es Salaam.

   Shughuli za utafiti  wa makaa ya mawe Ruvuma

Shughuli za utafiti na uchimbaji wa makaa ya mawe katika mkoa wa Ruvuma zinafanyika katika Wilaya ya Mbinga maeneo ya Mbalawala,Mbuyula,Paradiso,Ntunduwaro,Amanimakoro na Ngaka, katika Wilaya ya Songea katika maeneo ya Muhukuru, Mdunduwalo,Njuga na kikunja na Wilaya ya Nyasa maeneo ya Malini.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa  amewahi kutembelea na kukagua mgodi wa makaa ya mawe wa Kampuni ya Jitegemee katika Kijiji cha Ntunduwaro wilayani Mbinga ambapo aliridhishwa kutokana na kushamiri kwa biashara hiyo.

Waziri Mkuu alifurahishwa na biashara ya makaa ya mawe baada ya kutembelea mgodi mmoja tu wa Jitegemee ambapo alielezwa mgodi umetoa ajira za kudumu 85,ajira za muda 150 ambapo alisema hiyo ni faida kubwa kwa wananchi na serikali ambayo inapata mapato makubwa kutokana na kodi na tozo mbalimbali.

 Utafiti umebaini kuwa Mkoa wa Ruvuma una hazina ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 227 ambazo zinatarajiwa kuchimbwa kwa miaka 300.

Utafiti uliofanywa Mwaka 2001,kwenye mgodi wa Ngaka wilayani Mbinga ulibaini kuwepo kwa madini ya makaa ya mawe yanayoongoza kwa ubora duniani kiasi cha tani milioni 400.

Tafiti za awali za makaa ya mawe zimefanyika katika maeneo ya Mbalawala Mbinga ambako imebainika kuwa na tani milioni 99.5, Mbuyula Mbinga tani milioni 15.1 na Muhukuru Songea tani milioni 27.

Utafiti mwingine umefanyika katika eneo la Njuga wilaya ya Songea  ambako kuna tani milioni 23, wilaya ya Nyasa maeneo ya Malini  kata ya Mtipwili tani milioni 29, kijiji cha Liweta Kata ya Mbaha tani milioni 34.

Ubora wa makaa ya mawe yanayopatikana kwenye maeneo hayo yana wastani wa Calorific Value (CV)5,000 hadi 7,000,hata hivyo uchimbaji mkubwa wa makaa ya mawe unafanyika katika maeneo ya Mbalawala,Mbuyula, Mbambabay, Muhukulu na Liweta.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA ardhi Ruvuma wakabidhiwa vitendeakazi

    February 09, 2026
  • BWAWA lisilokauka juu ya mlima linavyovutia wengi Namtumbo

    February 08, 2026
  • URITHI wa Papa ulivyogeuka urithi kwa Viziwi Songea

    February 08, 2026
  • BILIONI 1.67 kuchochea mapinduzi ya barabara Songea

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88