• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RATIBA ya Mgombea Mwenza Nafasi ya Urais MHE.Samia Suluhu Hassan Mkoani Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: September 15th, 2020

MGOMBEA MWENZA nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhemishiwa Samia Suluhu Hassan yupo mkoani Ruvuma kuanzia Septemba 14 mwaka huu ambapo ameanza ziara yake katika wilaya ya Tunduru na Namtumbo.Kulingana na ratiba ya ziara yake mkoani Ruvuma,Septemba 15 mwaka huu atakuwa wilaya ya Songea  asubuhi atakuwa Madaba katika uwanja wa Lembuka A na jioni atakuwa Matarawe Manispaa ya Songea katika uwanja wa michezo shule ya msingi Matarawe.

Kulingana na ratiba hiyo Septemba 16 mwaka huu,asubuhi atakuwa Peramiho kwenye uwanja wa tamasha,mchana atakuwa Mbinga uwanja wa  michezo wa nyoni na jioni atakuwa Mbinga mjini kwenye uwanja wa michezo wa CCM.Ratiba hiyo itamalizika  wilayani Nyasa  katika Mkoa wa Ruvuma siku ya Septemba 17 asubuhi atakuwa  Liuli kwenye uwanja wa michezo wa mji wa Liluli na mchana atakuwa uwanja wa mazoezi wa jeshi la polisi mjini Mbambabay.


Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa Stendi mpya ya kisasa Songea-DC

    February 02, 2023
  • UJENZI wa Vyumba vya Madarasa

    February 02, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI RUVUMA

    February 01, 2023
  • MATUKIO picha

    January 31, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.