• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC IBUGE aagiza uzalishaji dhahabu wenye tija mkoani Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: August 14th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwa ameongozana na Waziri wa Madini Mheshimiwa Dotto Biteko wamekagua mgodi wa madini ya Dhahabu wa Mwekezaji Mzawa Johnson Nchimbi uliopo katika kijiji cha Lukarasi Wilaya ya Mbinga.

Licha ya kumpngeza Mwekezaji Nchimbi kwa kuzalisha dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni  tatu na kuwezesha serikali kupata mapato ya zaidi ya shilingi milioni 200,Hata hivyo RC Ibuge amesema takwimu rasmi za uzalishaji wa dhahabu katika Mkoa wa Ruvuma zinaonesha uzalishaji unaendelea kushuka  ambapo takwimu za Julai mwaka huu zinaonesha kuwa Mkoa mzima imezalishwa dhahabu kilo  mbili tu suala ambalo amesema sio sahihi kwa kuwa Mkoa una uwezo za kuzalisha dhahabu nyingi hivyo kuongeza ajira na mapato kwa mtu binafsi na serikali.

TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=N-CV16LjM0Y

Kushoto pichani ni Waziri wa Madini Mheshimiwa Dotto Biteko,akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Balozi Wilbert Ibuge wakiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msalanja wakikagua mgodi wa dhahabu wa Nalasi wilayani Mbinga ambao unamiliwa na Mwekezaji binafsi Mtanzania Johson Nchimbi ambapo katika kipindi cha kuanzia mwaka 2019 hadi sasa umeweza kuzalisha dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni tatu na kuwezesha serikal.i kupata mapato ya zaidi ya shilingi milioni 200

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI CCM Mkoa wa Ruvuma akipanda Mti

    February 03, 2023
  • MAJENGO ya Zahanati ya Kipingo-Madaba

    February 03, 2023
  • Ruvuma ya kijani

    February 03, 2023
  • Ujenzi wa Stendi mpya ya kisasa Songea-DC

    February 02, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.