• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC IBUGE alivyoongoza kumbukizi ya Mashujaa

Imewekwa kuanzia tarehe: July 25th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwakilishwa na Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Mgema katika  kumbukizi ya mashujaa wa Tanzania.

Akizungumza katika kumbukizi hizo zilizofanyika Manispaa ya Songea amesema Songea kuna Mashujaa waliopigana mwaka 1906 hadi 1907.

“ Tunao mashujaa mbalimbali Songea ni mfano mkubwa wa mashujaa walipigana mwaka 1906 hadi mwaka 1907  kutoka kabila la wangoni na Makabila mengine yaliyomo katika eneo hili ambalo lilikua likijulikana kama mji wa Ndonde”.

Mgema amewasihi wananchi  kulinda uhuru  haki na kuhakikisha katika  Nchi kama ambavyo mashujaa wa vita waliamua kupoteza maisha yao  ili kuilinda taifa letu.

Waziri wa Katiba na Sheria Damasi Ndumbaro amemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suruhu Hassani  kwa kuthamini siku ya mashujaa.

"Tunamshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suruhu Hassani kwa kutenga na kukubali kuazimisha siku hii nchini kote ikiwa Kitaifa Maadhimisho yanafanyika Dodoma”.

Muhifadhi wa Makumbusho ya Taifa Songea Bathazali Nyamsiya katika Maadhimisho hayo amsema siku ya leo inajumuisha Mashujaa wote ikiwemo waliopigana vita Uganda waliolinda mipaka ya Nchi ya Tanzania na kutetea Maslahi mapana ya Taifa.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara March 30, 2024
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2024
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Thomas afanya ziara Zahanati ya Kitanda Namtumbo

    November 29, 2023
  • PROF Ndalichako akagua mradi wa ujenzi wa chuo cha wenye ulemavu Songea

    November 29, 2023
  • NDALICHAKO alivyotembelea shamba la AVIV la Kahawa Songea

    November 29, 2023
  • SHAMBA la AVIV linachangia kukuza uchumi wa wilaya ya Songea

    November 29, 2023
  • Tazama zote

Video

WAZIRI APONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA HALMASHAURI YA MADABA
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.