• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC Ruvuma ateta na Wazee Wilaya ya Nyasa

Imewekwa kuanzia tarehe: September 21st, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameongea na wazee wa Wilaya ya Nyasa kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kutatua.

Akizungumza katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ufundi Veta amesema Mkoa umeunda balaza la wazee litakalosaidia kufikisha changamoto  za wazee kwa kuraisi.

“Kuishi ni haki yenu,kupata matibabu ni haki yenu na nyie mmekuwa wazalishaji wa kubwa katika kilimo mlikuwa mkiniletea chakula nawashukuru sana”.

Thomas ametoa rai kwa Kiongozi wa Balaza la wazee kwa kuwatumia wazee wa Wilaya ya Nyasa waunde balaza litakalo toa   haki kwa wazee  hao na kutatua migogoro itakayojitokeza.

Hata hivyo amaewaomba wazee hao kuhakikisha wanalea vijana katika maadaili na mienendo bora itakayosaidia kuwa na Taifa lenye vijana wazalendo na wachapakazi.

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga akikaimu Wilaya ya Nyasa Aziza Mangosongo amesema Wilaya ya Nyasa inawazee 1, 820  ikiwa wazee  4020 wanakadi za matibabu  bure na wazee 3,508 bado hawana kadi za matibabu.

Amesema Wilaya ya Nyasa ina kaya 8218  na katika idadi hiyo kuna  Wazee wanaonufaika  na mpango wa TASAF.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Septemba 21,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI ya Siasa Ruvuma yakagua jengo la DED Mbinga

    February 08, 2023
  • MAKITA sekondari wamshukuru Rais Samia kuwajengea madarasa

    February 08, 2023
  • TARURA yatumia bilioni moja kujenga lami Mbinga

    February 08, 2023
  • NDEGE mwenye uwezo wa kusafiri Dunia nzima humpumzika ndani ya hifadhi ya Gesimasowa Ruvuma

    February 08, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.