Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanzania ameongoza zoezi la upandaji miti katika shule za sekondari ya Chabruma,shule za Msingi Mbulani na Mkuzo Manispaa ya Songea ambapo miti zaidi ya 2000 imepandwa kwenye maadhimisho hayo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.