• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC Thomas awahimiza wanaruvuma kujitokeza kuhesabiwa Agosti 23,2022

Imewekwa kuanzia tarehe: August 18th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Ruvuma ifikapo Agosti 23,2022 kujitokeza kuhesabiwa Sensa ya Watu na Makazi.

Hayo amesema katika Kijiji cha Najima Wilayani Tunduru wakati akizungumza na wanchi wa Kata ya Najima.

Thomas katika ziara yake ya kwanza katika Wilaya hiyo kuanzia kuapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amsema zoezi la Sensa la watu na Makzi ni zoezi Nyeti la mpango wa Maendeleo katika Nchi na Mkoa kwa ujumla.

“Kila jambo ni Sensa ili swala ya Aljuma itimie inahitaji watu wazima 40 hiyo ni Sensa na Hata katika Biblia  Yusuph na Maria walienda Betherehemu kuhesabiwa baada ya Herode kutanga kila mtu akahesabiwe kwao”.

Amesema Wilaya ya Tunduru kwa Mkoa wa Ruvuma inaukubwa wa kilomita za mraba 18,776 ni ya pili kwa ukubwa baada ya Namtumbo hivyo kama wananchi watajitokeza kuhesabiwa itasaidia kupanga mipango ya maendeleo kwa usahihi.

Mkuu wa Mkoa amesema Sensa iliyopita Wilaya ya Tunduru haikufanya vizuri imesababisha upungufu wa Walimu mashuleni,Barabara kutotengenezwa hayo yamepelekea kuto pata idadi kamili ya watu.

Amesema zoezi hilo la Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la kisheria namba 351 inatoa taratibu za kuhesabiwa na nisiri baina yako na karani atakayepita kuhesabu.

“Tunashida ya watoto wenye mahitaji maalumu tusiwafiche majumbani tuwatoe wahesabiwe kwaajili ya maendeleo yetu “.

Mratibu wa Sensa ya watu na makazi Mkoa wa Ruvuma Mwantumu Athuman amesema ifikapo Agosti 23,2022 wahakikishe wanaacha taarifa za msingi ikiwa majina matatu,watu wote waliolala kuamkia siku ya sense,umri kamili taarifa ya ulemavu, hali ya uchumi pamoja na vitamburisho vya Nida,kitamburisho cha Kupigia kura na Ujasiliamari.

Hata hivyo amesema kwa ambao dini zinaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ahakikishe anahesabiwa kwenye nyumba  moja  na kila mtu ahesabiwe mara moja ili kupata taarifa sahihi.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 18,2022.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara March 30, 2024
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2024
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NIMEKUJA kusikiliza kero zetu na kuzitafutia ufumbuzi-RC Ruvuma

    November 30, 2023
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Mputa Namtumbo

    November 30, 2023
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma mgeni rasmi siku ya UKIMWI

    November 30, 2023
  • MKUU wa Mkoa wa Ruvuma akagua ujenzi wa sekondari mpya Kata ya Mputa

    November 30, 2023
  • Tazama zote

Video

WAZIRI APONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA HALMASHAURI YA MADABA
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.