• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI imewataka wananchi Ruvuma, kurasimisha maeneo yao

Imewekwa kuanzia tarehe: September 19th, 2022

SERIKALI imewataka Wananchi mkoani Ruvuma kurasimisha viwanja vyao kwani itapelekea kupanda kwa thamani katika maeneo yao pia kuepusha migogoro isiyo ya lazima wao kwa wao

Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi  wa Ardhi Mkoa wa Ruvuma Idefonce Ndemela, Wakati akizungumza katika hafla iliyofanyika hivi karibuni ya utoaji hati 57 kwa wananchi wa kata ya Ruhuwiko Songea mkoani Ruvuma.

Alisema ni muhimu wananchi kuelewa maana ya urasimishaji kwani  itasaidia kuepusha migogoro pia amesema kupitia zoezi hilo wao kama ofisi ya ardhi mkoa wameamua kumpunguzia  mwanchi mdaa mwingi wakufuatilia hati na badala yake wao wanamfuata mwananchi alipo

“Niwashukuru wote ambao mmefikia hatua ya kupewa hati leo kwa kutambua umuhimu wa kurasimisha Ardhi pia tungependa zoezi hili litokee na meeneo mengine kwa uwingi wenu inaleta maana kuwa wezetu wengine bado awajarasimisha maeneo yao hivyo tuwahamasishane kwani hati zinapatikana hapa hapa mkoani,” Alisema Ndemela  

Hata hivyo Diwani wa kata ya Ruwiko Wilbert Mahundi, amewasisitiza wananchi wake watambue kuwa zoezi hilo linamanufaa kwao hii ni baada ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali za mipaka hivyo urasimishaji ardhi ni dhamana kwao pia uondoa migogoro

“Tulianza zoezi hili kwa muda mrefu kwa kuamua kurasimisha maeneo yetu ili tuweze kuyamiliki kisheria kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, ardhi ni mali ya serikali sisi wananchi tunayaendeleza kwa utaratibu kwa kufuata sharia,”alisema Mahundi.

Naye Frank Mhagama mkazi wa kata ya Ruhuwiko ameishukuru ofisi ya Ardhi Mkoa wa Ruvuma, kwa kuweza kufanya zoezi hilo kwa muda mfupi na kuwapatia hati hizo kwa wakati kwani zinawapa uhuru wa kuwazesha katika mambo mbalimbali ikiwemo kupata mikopo

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI ya Siasa Ruvuma yakagua jengo la DED Mbinga

    February 08, 2023
  • MAKITA sekondari wamshukuru Rais Samia kuwajengea madarasa

    February 08, 2023
  • TARURA yatumia bilioni moja kujenga lami Mbinga

    February 08, 2023
  • NDEGE mwenye uwezo wa kusafiri Dunia nzima humpumzika ndani ya hifadhi ya Gesimasowa Ruvuma

    February 08, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.