SERIKALI imetoa shilingi milioni 500 kujenga Kituo cha Afya Kata ya Ligera Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Fedha hizo zimetokana na tozo za miamala ya simu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.