• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TAKUKURU Ruvuma ilivyookoa fedha za umma shilingi milioni 107

Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2020

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imeokoa fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 107  kutokana na uchunguzi mbalimbali unaoendelea kufanywa.

Akitoa taarifa hiyo katika ukumbi wa TAKUKURU  Songea Mjini  Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Hamza Mwenda  amesema  Fedha iliyookolewa ni kutoka benki ya wananchi Mbinga(MCB) zaidi ya shilingi 488.

Fedha nyingine iliyookolewa ni kutoka  zaidi ya shilingi milioni 94 toka chama vya kuweka na kukopa( SACCOS ) Wilaya ya Songea  na Marejesho ya madeni ya Muungano (SACCOS) wilayani Namtumbo zimeokolewa sh.1,779,000 na  marejesho ya madeni Mbinga Teachers SACCOS sh.2,465,000 na kwamba fedha za SACCOS zimewekwa kwenye akaunti ya vyao vyao.

“shilingi5,890,000 ni fedha iliyookolewa wilayani Nyasa kwenye deni feki alilowekewa ndugu Ufunuo Chirwa na mtu wa Taasisi ya Maboto,alistahili kulipwa shilingi 4,000,000 lakini aliwekewa deni la jumla ya sh9,890,000 kwa njia ya ujanja’’,alisema Mwenda.

Amesema katika kipindi hicho TAKUKURU ilifuatilia miradi ya maendeleo nane yenye thamani ya shilingi bilioni 3.345 na kuitaja miradi iliyokuwa inafuatiliwa na  TAKUKURU  ni Elimu,Barabara na Maji.

Amesema wamejipanga kuelimisha wananchi kupiga vita rushwa dhidi ya uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28  mwaka huu.

Imeandaliwa Aneth Ndonde na Farida Mussa

Kutoka ofisi ya Habari Mkoa wa Ruvuma

Octoba  24, 2020.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara July 31, 2022
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2022
  • MKATABA wa Lishe Mkoa wa Ruvuma June 30, 2022
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 August 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAWA Ruvuma wakamata meno ya tembo

    May 18, 2022
  • WWF yazindua elimu ya uhifadhi kwa shule za msingi Ruvuma

    May 17, 2022
  • FUKWE za Nyasa

    May 17, 2022
  • VIVUTIO vya utalii Nyasa

    May 17, 2022
  • Tazama zote

Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali apongeza Mkoa wa Ruvuma kwa kuongoza habari mtandaoni
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.