• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TAKUKURU Ruvuma yatoa mafunzo ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu kwa waandishi

Imewekwa kuanzia tarehe: October 22nd, 2020

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imetoa mafunzo ya namna ya kuripoti habari za uchaguzi Mkuu unaoatarajia kufanyika Jumatano  Oktoba 28 mwaka huu.

Mafunzo hayo ambayo yamefanyika kwenye ukumbi wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma mjini Songea, yametolewa na Mwanasheria wa TAKUKURU Herman Malima.

 Malima amesema waandishi wa habari wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwaelimisha wananchi madhara ya kupata viongozi kwa njia ya rushwa na kuwa mfano wa kuigwa katika mapambano dhidi ya rushwa kwasababu wao ni kioo cha jamii.

Amesisitiza kwa waandishi  wa habari wasiandike taarifa ambazo zinaleta uchochezi kwa wanasiasa na jamii kwa sababu kwa kufanya hivyo wanaweza kuleta machafuko na ukosefu wa amani katika Taifa letu la Tanzania.

“Sheria ya uchaguzi  namba moja ya mwaka 1985 inahusika na kuongoza chaguzi za Rais,Wabunge na Madiwani,Sheria inatoa taratibu za uchaguzi na mamlaka mbalimbali ikiwemo kuanzishwa kwa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC),Sheria hii inakemea vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi na inaelekeza adhabu”.amesema Malima

Mwanasheria huyo ameonya viongozi wanaopitishwa kwa njia ya Rushwa hawafai kwa sababu wanaweza kusababisha  kudumaza uchumi wa Taifa kutokana kuwa na watakuwa viongozi wasiopambana na rushwa kwa ukamilifu.

Akizungumza wakati anafungua mafunzo hayo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Hamza Mwenda  ametoa rai kwa wanahabari kuhakikisha kuwa wanaripoti habari za uchaguzi kwa weledi na maadili ili kutosababisha machafuko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Amesema mafunzo hayo yataongeza umakini na uangalifu katika kutafuta,kuchuja na kusambaza habari mbalimbali  zitakazokuwa zinaandikwa katika kipindi hiki cha Uchaguzi  Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Imeandaliwa na Farida Baruti na Aneth ndonde                      

Kutoka ofisi ya Habari Mkoa wa Ruvuma

Oktoba 22,2020.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara July 31, 2022
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma July 31, 2022
  • MKATABA wa Lishe Mkoa wa Ruvuma June 30, 2022
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 August 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAWA Ruvuma wakamata meno ya tembo

    May 18, 2022
  • WWF yazindua elimu ya uhifadhi kwa shule za msingi Ruvuma

    May 17, 2022
  • FUKWE za Nyasa

    May 17, 2022
  • VIVUTIO vya utalii Nyasa

    May 17, 2022
  • Tazama zote

Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali apongeza Mkoa wa Ruvuma kwa kuongoza habari mtandaoni
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.