• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TANI 10 za mkaa mbadala zakabidhiwa shule za msingi na sekondari

Imewekwa kuanzia tarehe: July 17th, 2024


Tani 10  za mkaa mbadala utokanao na makaa ya mawezimekabidhiwa  kwa shule za Msingi 15 na  shule za Sekondari 15  za Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga kwa ajili ya kupikia lengo likiwa ni kutekeleza agizo la matumizi ya nishati safi lilitolewa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Mkaa huo umekabidhiwa na mgeni rasmi  Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Makori katika  Halfa ya Ugawaji wa Mkaa Mbadala Utokanao na Makaa ya Mawe iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya wasichana Mbinga  Julai 11, 2024.

Akikabidhi mkaa huo Mhe. Kisare amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura   kwa kuchukua hatua katika kutekeleza  agizo la Mhe. Rais na kusisitiza  kuwa huo ni mfano wa kuigwa  na wengine.

Amesema" Nikupongeze Mkurugenzi  kwa kweli umefanya jambo kubwa sana na la kuigwa  sio tu tumekabidhi lakini umeacha alama kwa shule hizi na kuhamasisha taasisi nyingine zitumie mkaa huu"

Akisoma taarifa  katika hafla hiyo Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga  Joseph Kashushura  amebainisha kuwa katika kutekeleza  agizo la Mhe. Rais  la katazo la matumizi ya nishati chafu , Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imeanza  na shule za Sekondari na Msingi ili kuondokana na  matumizi ya kuni na mkaa wakati wa kupika chakula.

"Tani hizi zilizotolewa ni moja ya mkakati  wa  kuhakikisha Halmashauri  yetu inatumia nishati safi na kuacha uharibifu wa mazingira  kwakuwa miti mingi inakatwa kwa ajili ya kupata kuni au mkaa wa kupikia" Amebainisha  Kashushura 

Akizungumza kwa niaba ya walimu wakuu wa Halmashauri  ya Wilaya ya Mbinga  Mkuu wa Shule ya Sekondari  ya Mndeme mwalimu  Denterias Mgaya amesema  mkaa huu utapunguza gharama lakini pia ni  chachu katika kutunza mazingira.

Watengenezaji na wauzaji wa mkaa huo ni kikundi cha wanawake Mbalawala  kilichopo kata ya Ruanda  kikundi ambacho ni wanufaika wa mkopo wa 10% unaotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.


Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara November 30, 2026
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2026
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2026
  • ILANI ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya mwaka 2020/2025 October 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WWF wachochea mapinduzi ya uhifadhi katika kisiwa cha Lundo

    April 02, 2026
  • MRADI wa maji wa bilioni 145 Songea ,wapiga hatua serikali yalenga kumaliza tatizo la maji

    April 02, 2026
  • KANISA la msalaba ;Liuli urithi wa karne unaoishi

    April 02, 2026
  • LIKUNGU kutoka wingu jeusi hadi bidhaa adimu ya lishe bora

    April 02, 2026
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • slot gacor
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto
  • slot
  • wdbro
  • axl777
  • wdbro
  • wdbro
  • wdbro
  • wdbro
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • dora77
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต
  • ทดลองเล่นสล็อต