• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TBS yakabidhi vitambulisho kwa wakaguzi wa Halmashauri ya Tunduru

Imewekwa kuanzia tarehe: October 13th, 2025

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekabidhi vitambulisho kwa wakaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi katika kusimamia ubora wa bidhaa za chakula na vipodozi.

Uwasilishaji huo umefanyika kufuatia Kanuni za Viwango na Ushirikiano katika Utekelezaji wa Mamlaka na Majukumu ya mwaka 2021, pamoja na makubaliano rasmi ya ushirikiano yaliyosainiwa kati ya TBS na halmashauri zote nchini Tanzania Bara.

Kupitia makubaliano hayo, TBS imekabidhi baadhi ya majukumu yake kwa halmashauri, ikiwemo ukaguzi na usajili wa majengo ya chakula, ambapo wakaguzi wa halmashauri sasa wanatekeleza majukumu hayo kwa niaba ya TBS. Vitambulisho hivyo maalum vinawapa mamlaka ya kisheria kufanya ukaguzi wa maeneo yote yanayohusiana na biashara ya chakula na vipodozi, ili kuongeza uwazi, uhalali na ufanisi katika utoaji wa huduma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Ndg. Chiza Marando, ameishukuru TBS kwa hatua hiyo, akibainisha kuwa hatua hiyo itaimarisha uwajibikaji wa wakaguzi na kuhakikisha bidhaa zote zinazouzwa katika Wilaya ya Tunduru zinakidhi viwango vya ubora na usalama.

Hatua hii ni sehemu ya juhudi za Serikali kupitia TBS kuhakikisha kuwa viwango vya ubora na usalama wa bidhaa vinazingatiwa katika ngazi zote nchini, kwa manufaa ya afya na ustawi wa wananchi.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BALOZI wa Malawi afanya ziara Nyasa

    December 06, 2025
  • VIJANA Ruvuma wahimizwa kuchangamkia fursa za maendeleo

    December 06, 2025
  • BALOZI wa Tanzania nchini Malawi azungumza na RC Ruvuma

    December 05, 2025
  • RC RUVUMA awatahadharisha madiwani wapya

    December 04, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor