MWAKILISHI wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TEMESA Mhandisi Hassan Karonda pichani kushoto akimkabidhi Tuzo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kwenye kikao cha wadau wa TEMESA Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chandamali mjini Songea
Kulia pichani ni Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Louis Chomboko akipokea Tuzo kutoka kwa TEMESA kwenye kikao cha wadau wa TEMESA Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.