• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

THAMANI ya Maziwa yaongezwa Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: September 1st, 2022

Mkoa wa Ruvuma umefanya jitihada za kuimarisha na kuongeza thamani  ya Maziwa katika Halimashauri zake.

Afisa Mifugo Mkoa wa Ruvuma Nelson  William amesema wamefanya uchunguzi wa Magonjwa kifua kikuu (TB) na ugonjwa wa kutupa mimba (brucellosis) kwa Ng’ombe wa maziwa 1,546.

Amesema katika Halmashauri za Wilaya ya Namtumbo,Songea na Manispaa  ya Songea Mkoa umehamasisha wasindikaji wadogo wadogo wa Maziwa kwa sasa kuna jumla ya wasindikaji 6 wanasindika kwa wastani wa lita 201,600 kwa mwaka.

Hata hivyo Afisa Mifugo amesema mfumo wa utambuzi  na ufuatiliaji wa Mifugo Tanzania unasimamiwa kwa Sheria ya Usajili Na 12 ya Mwaka 2010 na kanuni zake za mwaka 2011.

“Kwa Mkoa wetu wa Ruvuma Halmashauri ziko kwenye hatua tofauti ya maandalizi ya kutekeleza zoezi hili”.

Amesema Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Mkoa wametoa Elimu kwa Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi wa Halmashauri,Wakuu wa Idara za Mifugo na Uvuvi Maafisa Tehama pamoja na Maafisa Utambuzi wa Halmashauri.

Afisa mifugo amesema zoezi la utambuzi litasaidia kudhibiti wizi wa mifugo pamoja na kuthibitisha umiliki wa mifugo hiyo ikiwemo fursa ya kibiashara ya Kimataifa kwa kukidhi viwango vya ushindani na soko la kimataifa.

William amezitaja changamoto katika Sekta ya Mifugo ikiwemo Ukame maeneo ya ranchi ndogo na ukosefu wa miundombinu ya maji  Majosho  pamoja na ukosefu wa kudhibiti Magonjwa kliniki za mifugo.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Septemba 1,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI ya Siasa Ruvuma yakagua jengo la DED Mbinga

    February 08, 2023
  • MAKITA sekondari wamshukuru Rais Samia kuwajengea madarasa

    February 08, 2023
  • TARURA yatumia bilioni moja kujenga lami Mbinga

    February 08, 2023
  • NDEGE mwenye uwezo wa kusafiri Dunia nzima humpumzika ndani ya hifadhi ya Gesimasowa Ruvuma

    February 08, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.