• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TIMU ya Menejimenti RS Ruvuma yakagua miradi minne ya maendeleo Madaba

Imewekwa kuanzia tarehe: November 7th, 2025

Timu ya Menejimenti  ya Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Joel Mbewa  Novemba 6.2025 imefanya ufuatiliaji wa miradi  minne ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 875  katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea.

Miradi iliyofuatiliwa utekelezaji wake ni  ujenzi wa nyumba nne za watumishi katika shule ya sekondari Matetereka wenye gharama ya zaidi ya shilingi milioni 201,ujenzi wa kituo cha walimu katika shule ya msingi Ifugwa Kata ya Lituta wenye thamani ya zaidi ya  shilingi milioni 51,ujenzi wa vyumba sita vya madarasa,mabweni mawili na matundu 10 ya vyoo  katika shule ya sekondari Madaba unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 417 na mradi wa ujenzi wa  stendi ya mabasi ya Madaba katika Kata ya Lituta  unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 205.

Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo Mbewa amewapongeza wataalam kwa kusimamia miradi hiyo  ambapo mingine ikiwa imeanza kutumika ukiwemo mradi wa ujenzi wa nyumba nne za walimu 

Hata hivyo amesisitiza kuongeza kasi ya utekelezaji kwa miradi  ambayo bado haijakimilika  huku akisisitiza kuzingatia viwango  bora katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Timu ya Menejimenti mkoa wa Ruvuma leo Novemba 7 bado inaendelea na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Madaba


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma May 31, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BALOZI wa Malawi afanya ziara Nyasa

    December 06, 2025
  • VIJANA Ruvuma wahimizwa kuchangamkia fursa za maendeleo

    December 06, 2025
  • BALOZI wa Tanzania nchini Malawi azungumza na RC Ruvuma

    December 05, 2025
  • RC RUVUMA awatahadharisha madiwani wapya

    December 04, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AERO88
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • SILVAWIN
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • YAMITOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor