Kushoto ni katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki akiwa na Menejimenti ya Mkoa,wakiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi Manispaa ya Songea.
Moja ya miradi iliyokaguliwa ni ujenzi wa madarasa 76 yenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 katika shule za sekondari manispaa ya Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 74 Songea
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.