• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

UTEKELEZAJI wa Ilani ya CCM mkoani Ruvuma kwenye sekta ya maji

Imewekwa kuanzia tarehe: July 28th, 2020

Maelekezo ya Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ni kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama vijijini unaongezeka toka asilimia 67.7 mwaka 2015 na kufikia asilimia 85 mwaka 2020; miji ya makao makuu ya Mikoa toka asilimia 68 mwaka 2015 kufikia asilimia 95 mwaka 2020 na miji mikuu ya Wilaya na miji midogo toka asilimia 57 hadi asilimia 90 mwaka 2020.

Hali ya huduma ya maji katika Mkoa

Katika kuboresha sekta ya maji Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Rais umetupatia Fedha kiasi cha Tshs. 16,368,911,105.11 hadi mwaka 2020 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maji.

 Hadi kufikia mwaka 2020 jumla ya wananchi 1,149,867 walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama ikiwa ni asilimia 63.9 ya wakazi wote wa Mkoa kutoka asilimia 57 ya wananchi waliokuwa wakipata huduma hii mwaka 2015.

 

Maji Vijijini 

Wananchi wanaoishi maeneo ya vijijini wanaopata huduma ya maji safi na salama wanakadiriwa kuwa 888,005 ambao ni sawa na asilimia 61.6 na wanapata maji kupitia vituo vya kuchotea maji 5,631. Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama na kufikia malengo ya kitaifa, Mhe, Rais ameendelea kuwezesha  ukarabati na ujenzi wa miradi mipya ya maji, kuanzisha na kusajili kisheria jumuiya za watumia maji vijijini kwa ajili ya kusimamia na kuendesha miradi ya maji kwani miradi hii ni ya wananchi wenyewe.

Maji mijini

Mkoa wa Ruvuma unayo miji sita ambayo ni makao makuu ya Halmashauri ukiwepo mji wa Songea ambao ni makao makuu ya Mkoa. Miji hiyo ni Songea, Mbinga, Tunduru, Namtumbo, Mbambabay na Madaba. Hadi kufikia mwaka 2020 huduma ya maji safi na salama katika Manispaa ya Songea inapatikana kwa asilimia 91 ikilinganishwa na asilimia 72.7 kwa mwaka 2015.

Mpango wa utekelezaji miradi ya maji vijijini.

Mhe. Rais katika mwaka wa fedha 2019/2020 ametupatia kiasi cha Tsh 1,168,888,500.83 kwa ajili ya ukarabati na upanuzi wa miradi 29 ya maji.

Aidha, Mhe. Rais ametupatia Tsh bilioni 7.8 kwa ajili ya Kujenga, kukarabati na kufanya upanuzi katika miradi 33 ya maji kwa wilaya zote.

Hali ya utekelezaji wa miradi kupitia programu ya lipa kwa matokeo na Mfuko wa Maji.

Hadi kufikia mwaka 2020 Kupitia Program ya lipa kwa matokeo , Jumla ya miradi kumi na tisa (19) imekamilika na miradi kumi (10) inaendelea kutekelezwa, Miradi thelathini na tatu (33) iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji.

Katika kukabiliana na tatizo la maji, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya maji na kupanua mitandao ya maji ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama. Maboresho katika sekta ya maji kama yanavyoonekana yanatokana na malengo thabiti ya Mhe. Rais ya kumtua mama ndoo Kichwani.

 “MAGUFULI MAJI BOMBANI, MAGUFULI MAJI NYUMBANI”

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 October 14, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara December 31, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SERIKALI kuendelea kutoa mbolea ya ruzuku

    September 24, 2023
  • PPRA yatangaza kufunga rasmi mfumo wa ununuzi wa TANePs Septemba 30 mwaka huu

    September 23, 2023
  • MKUU wa Mkoa alivyomkabidhi Mkakati wa Utalii Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma

    September 23, 2023
  • CHIFU wa Wangoni alivyokabidhiwa Mkakati wa Utalii Mkoa wa Ruvuma

    September 23, 2023
  • Tazama zote

Video

WAZIRI APONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA HALMASHAURI YA MADABA
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.