• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAFUGAJI wavamizi kukomeshwa Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: November 11th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Mkoa wa Ruvuma utawashughulikia wafugaji wote ambao wameingia mkoani umo bila ya kufuata sheria na utaratibu  kwani kama Mkoa hawapo tayari kushuhudia migogoro kati ya wakulima na wafugaji

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mkongo tarafa ya Gulioni katika Wilaya ya Namtumbo alisema wafugaji ambao wameingia mkoani umo  bila kufuata sheria warudi walipotoka kwani mkoa utafanya opresheni ya kuwabaini na kuwachukulia sheria

Kanali Thomas alisema Mkoa wa Ruvuma umetenga maeneo ya vitalu kwa ajili ya wafugaji  lakini haiwezekani Serikali kuwachimbia maji kwenye vitalu vyao pia amewata wakuu wa Wilaya kutojihusisha kwenye kuwatafutia maji kwani ni wajibu wao kwa mifugo yao

“Kuanzia leo hatutaruhusu kuingiza mifugo mkoa wa Ruvuma mpaka pale tutakapo kamilisha kufanya zoezi la uhakiki wa mifugo iliyopo na kwa kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vipo navitaka vishirikiane kutekeleza zuio hilo na sisi wananchi tuwe walinzi tuoa taarifa mapema”alisema kanali Thomas

Hata hivyo ameziagiza Halmashauri zote mkoani umo kusimamia vibali na ufuatiliaji kwa wafugaji pia amewasisitiza wananchi kuwa walinzi na kutoa taarifa mapema kabla ya dosali kujitokeza ili  wafugaji wasio fuata utaratibu waweze kubainika

Pia ameagiza viongozi vijiji kusimamia sheria na kutenda haki na kwa wale wenyeviti ambao wanahusika na migogoro ya wakulima na wafugaji kwa kuwaingiza wafugaji bila kufuata sheria na wamechukuaa rushwa wachukuliwe hatua za kinidhamu

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • UTARATIBU wa kupandisha hadhi barabara June 30, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa Stendi mpya ya kisasa Songea-DC

    February 02, 2023
  • UJENZI wa Vyumba vya Madarasa

    February 02, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI RUVUMA

    February 01, 2023
  • MATUKIO picha

    January 31, 2023
  • Tazama zote

Video

BARABARA ya Songea -Msumbiji kuanza kujengwa
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 74 Songea

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.